
KALE, Imeonekana kale imekua mtoto
anaefahamika sana siku hizi.Miaka ya nyuma kidogo sikuwahi kusikia kale hili,na
sasa ni mboga ninayoikimbilia mwanzo nikiingia sokoni.Chakula tofauti huweza
kuwa mtindo kwa kipindi fulani hivi,lakini binafsi sidhani kama kale ni kimoja wapo.Mboga
hii ipo kwa muda sanaa.Kama hujawahi nunua mboga hii ya kijani maishani mwako
, nakusisitizia kubwa fanya haraka ununue ukijani huu.Lakini iwe baada ya kujua
sababu...