• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Tuesday, August 31, 2021

Kula Kuondoa Stress

12:21 AM // by Kalma // No comments

 Kula Kuondoa Stress: 

Vyakula 10 ambavyo hupunguza wasiwasi

Hizi ni Habari nzuri kuweka akilini wakati mwingine ukiwa na mawazo yaani stress.Kula kunaweza saidia kukuletea utulivu.Lakini hapa kuna kitu:Hatuzungumzii  kula chakula hichoo moja kwa moja kujituliza kabisaa au kupona kabisa kutokea kwa chakula.Vyakula vya kukaanga au cheese vitakuletea majuto na hata kukuongezea stress.Badala yake,jaribu hizi lishe kimojawapo au zaidi ya hizi vyakula 10 kujisikia au kuapata afueni ya haraka.

1. AsparagusDepression ina muunganiko wa kushusha kiwango cha folic acid,na mboga mojawapo inayo boost na ina virutubisho ni asparagus.Kikombe kimoja kina mbili ya tatu ya thamani kila siku.Na ni rahisi kuwa nayo mboga hii katika mlo wa siku wowote.Wazo lingine :Mboga ya asparagus yaweza kuwa kidokezo kwenye omelet.Inaweza kuwa mchemsho au grilled kama kidokezo cha kula na nyama,Samaki n.k.Unaweza tumia pia kama chachandu ya vyakula mbalimbali.

2. Avocado/parachichiTunahitaji vitamin B kwa afya ya mishipa na seli za ubongo,na kuwa na msongo wa mawazo au stress hupunguza vitamin B.Parachichi ni tajiri wa kutibu mawazo au stress.

Vile vile ina uwezo wa juu  cha mafuta ya na potassium,ambayo hulinda na kupunguza shinikizo la damu.Mara ijayo tumia full-fat ice cream,au isiyokuwa na maziwa changanya na parachichi saga na ndizi ya kuiva,weka vanilla,nut milk,na non nutritive sweetener.Gandisha,nayo huponesha stress.

3. BlueberriesBlueberries inaonekana ni ndogo,lakini ikijaa mkononi ni yenye nguvu ya antioxidants na Vitamin C,nayo huondoa msongo wa mawazo.Pindi tunapokuwa na mawazo au stress,miili yetu huhitaji Vitamin C na antioxidants kusaidia kukarabati na kulinga za seli.Hata hivyo blueberries zina ladha zenyewe yaani tamu balaa.kidokezo:Igandishe iwe kama snack,hakuna namna ya kuboost lishe kula na maziwa ya mtindi au vyakula vyenye nafaka ya kiwango cha juu yaani high-fiber cereal.

4.MaziwaGlass ya maziwa ya vuguvugu kabla ya kulala imegundulika ni wakati wa kutibu insomnia fidgetiness.Kwasababu maziwa kunapatikana antioxidants,vitamins B2,na vizuri protein na Calcium.Protein lactium ni chenye athari ya kutuliza kushusha shinikizo ladamu yaani blood pressure,wakati potassium ipatikanayo katika maziwa husaidia kulegeza misuli  ya sparms iliyojibana wakati wa hasira au wasiwasi.

 5. AlmondsKupata nafuu ya munching hutokea kwenye almonds,ambapo ina vitamins B2 na E.Vyote kwa Pamoja ni virutubisho inayosaidia kuimarisha kinga za mwili kipindi cha msongo wa mawazo.Yaani ni robo kikombe cha almonds kila siku.Unaweza tumia almonds kama siagi au katakatia kwenye matunda au whole wheat crackers.

6. MachungwaKuna sababu ya juisi ya machungwa kuwepo kama kinara katika mlo wa kifungua kinywa asubuhi.Vitamin C ni vitamin nyingine ijulikanayo kama kupunguza shinikizo la damu na hormone za stress cortisol.Kwa ufanyaji kazi wake harakaya vitamin C,ni rahisi tu kula chungwa lenyewe au juisi ya machungwa bila ya kuweka sukari.Au hata ya kununua pia,kubwa na la muhimu kuipata juisi halisi ya machungwa.

7. SalmonKula Samaki kwa wingi katika mlo wako utajisikia vizuri.Mlo kamili wenye omega-3 wa fatty acids husaidia kuweka cortisol na adrenaline spiking pindi unajisikia hasira au msongo yaani stress.Salmon ni mojawapo ina vyanzo ya omega -3s:Ipatikane kwenye mlo angalau 4 ounches mara tatu kwa wiki na hufanya kazi kibws ya kulinda na kukinga moyo pindi homoni zinapoongezeka wakati wa stress.

8. SpinachTengeneza au pika chakula weka na spinach.Majani yake yanaweza yakawa katika mawazo ya chakula cha faraja,lakini spinach ina leta afueni ya madhara ya stress.

Spinach ina mzigo wa kutosha wa magnesium,madini yanayosaidia kuweka sawa kiwango cha cortisol na kukuza au kulazimishia hisia za kupata afueni.Kikombe kidogo cha percent 40 ya spinach kila siku,unaweza ukala katika mlo wa asubuhi wa kifungua kinywa Pamoja na mayai,tumia kama lettuce kwa sandwich,tumia kama kachumbari,chemsha kama mboga,au pika  majani machache katika supu yako.

 9. Turkey

Usingizi unaopata baada ya kula cha jioni na zaidi kwa chakula ukipendacho husababishwa na amino acid tryptophan ipatikanayo turkey.Tryptophan huashiria ubongo huondoa na kutoa kemikali ya serotonin,ambayo inachochea utulivu na huondoa uchovu mzito.

 10. OatmealOatmeal ni chakula kingine kinasaidia kuleta utulivu na afueni itokanayo na mzunguko wa hormones za serotonin.tumia njia hii,ambayo hupatikana kwa oats ya kizamani inayohitaji kupikwa badala ya instant oatmeal. Kwanini?Sababu Oats ina fiber nyingi ya kutosha na kwasababu hiyo huchukua muda mrefu kumeng’enywa(kwa maana inamaanisha athari ya kutuliza au kuponesha hudumu kwa muda mrefu).


 

 

Monday, August 30, 2021

Mmea wa Aloe

2:54 AM // by Kalma // No comments

Mmea wa Aloe 
Matumizi na faida zake 


Mmea wa Aloe una matumizi na faida kibao,na mmea aloe kiukweli ni kitu ambacho napenda kiwepo nyumbani,na haswa kipindi cha jua au kiangazi. 
Ni cha ajabu mmea huu kwa kulainisha ngozi baada ya kupigwa na jua kali ndani ya siku yako,hata kama halijakuunguza (sunburnt),na vile vile hutumika kuondoa scrapes na kuungua kidogo.
Mara zingine sikumbuki niliweka wapi chupa la mmea wa aloe najikuta nakimbizana kuitafuta huku na huku na hata hujisikia vizuri pale watu wanapouzungumzia mmea huu na hufarijika nikisikia mmoja wao anao nyumbani kwake. 

Napendelea zaidi kuifanya mimea iwe hai kila leo,na sina mkono mzuri wa kustawisha mmea,lakini mmea wa Aloe ni rahisi kuufanya uwe hai kila siku.
Unaweza kuuotesha ndani bila hata kuitaji jua wala maji.Na ukaishi kwa miaka kwa miaka,na ukawa mkubwa vizuri tu. 

Faida za kuwa na mmea Aloe nyumbani?
Muda wowote nikiuhitaji nachokifanya ni kukata kipande ambacho ni fresh ni kizuri,halafu mara moja hujifunga na kumea tena, wala huhitaji kuwa na wasiwasi kwa kuota kwake.
Aloe gel inapatikana hapo clear,ni jelly ambayo inapatikana ndani ya katikati ya mmea huu mwa jani lake.
Mmea huu unazalisha material inayoitwa aloe latex inapatikana chini ya ngozi ya mmea na ni rangi ya njano. 
Hutumika kwa kupunguza maumivu ya kuungua kwa jua na hata kuungua kwa aina yoyote ile,aloe gel pia hutumika kuondoa madoa au kovu,psoriasis,na hulainisha ngozi pia.
 Kwa matumizi ya urembo hauna mwisho. 
Gel ya mmea huu unaweza sugulia kwenye ngozi ya kichwa kwa kukuza na kuotesha nywele,na kupakaa kwenye kiganja na kusugulia kwenye nywele hulainisha nywele na kuondoa ukavu wa nywele.


 Nimejaribu kufikiria kuja kutengeneza shower gel na lotion. 
Kama una jua zaidi faida za mmea huu nijuze!

Friday, August 27, 2021

5 Maajabu ya urembo kwa kutumia coffee Ground!

12:09 AM // by Kalma // No comments

5 Maajabu ya urembo kwa kutumia coffee Ground!

Unaweza kunywa kahawa yenye caffeine huku macho ikiiangalia kwa makini,harufu nzuri na joto linalofariji. Lakini usitupe coffee ground za zamani wakati sufuria yako ya asubuhi haina kitu! Unaweza kushikilia utaratibu wako wa urembo na matokeo ya caffeine wakati wako wa  kuamka kwa kutumia tena  coffee ground katika kuleta mazuri haya ya urembo.

Kwa kuongeza, utaokoa pesa kwenye bidhaa za urembo zilizonunuliwa dukani, wakati wote ukatumia coffee ground.Na ikazaa matunda ya ushindi!

1. Exfoliate And Scrub

Coffee ground ya iliyotumika hufanya uso kuwa mzuri, hupunguza seli za ngozi zilizokufa ili kufunua ngozi safi, yenye afya na safi. Kifuatacho ni mahitaji rahisi ya urembo wa ngozi ya uso nyumbani.

4 Vijiko vya nazi, olive oil, au mafuta unayopendelea

Vijiko 6 vya coffee ground iliyotengenezwa vizuri(hata iliyosagwa kwa muda mrefu nayo nzuri)

Matone machache ya tea tree,au mafuta uyapendayo

Changanya viungo vyote vizuri na uhifadhi kwenye chombo kisichopitisha hewa kwenye joto la kawaida au kwenye jokofu. Pakaa usoni kidogo,sugua kwa mzunguko wa duara kwa upole.Mchanganyiko huo unaweza uhifadhi kwa wiki kadhaa.

2. Combat Cellulite

Aina hii ya urembo huu zaidi inaendana na maumbile ya aina ya ngozi,pindi inapotengenezwa hua ni nzuri katika urembo.Japokuwa ,caffeine inayopatikana ndani ya hii coffee ground inaongeza mataboliki za aina ya mafuta na huongeza mzunguko,kuna uwezekano wa kupunguza cellulite.kazi yake ni kulainisha ngozi na kuifanya iwe nyororo.Jaribu hata kwa ajili ya kusugua mwili yaani body scrub au brown sugar Vanilla body scrub.

 3. Hung’arisha nywele,na kulainisha

Athari za coffee ground hutumika kwa nywele pia! Changanya coffee ground na conditioner unayotumia au uipendayo kwa taratibu sugua kwenye ngozi ya kichwani kwa dakika chache.Sio tu utajisikia vizuri,lakini caffeine inasaidia kukuza na kuotesha nywele! Fanya hivi kwa muda wa wiki moja kwa matokeo mazuri na bora.

Ujumbe wa tahadhari,unaweza tumia kichujo kinachochujia kahawa ukaweka kwenye maji na kuusuuzia nywele,au kwennye shower ya kuogea na yakatumika wakati wa kusuuza nywele.

4. Kupendezesha Rangi ya Nywele

Kuloweka nywele kwenye kahawa iliyobaki au kusugua kwa coffee ground kunaweza kukuza rangi ya nywele, kuongeza vionjo kwa nywele nyeusi zaidi, na kufanya muonekano wa  rangi aina yoyote za nywele kung'aa sana. Kwa kuongeza, kuloweka ngozi kwenye mabaki ya kahawa kunaweza kutoa muonekano wa ngozi kung'aa yenye afya na kukinga ngozi kuathirika na jua pia hutibu ngozi iliyoathirika na jua.

5. Tengeneza Mask

Matokeo  ya kusisimua ya caffeine inaweza kukufanya uwe na ngozi ya kupendeza wakati unatumia kahawa kama facial mask! Jaribu kujipatia ladha  nzuri ya Kahawa na kahawa hiyo hiyo kwa ajili ya mahitaji ya usoni,

Jipumzishe na kitabu upendacho na kikombe chako cha kahawa.