
Ubunifu wa Matumizi
ya Tea BagsUsitupe tea
bags iliyotumika tena!Tumia zaidi iliyotumika na usave hela na kupunguza taka.Kutibu macho
na tea bags!Kuzuia uvimbe wa chini ya macho kwa kutumia tea
bags.Tumia kwa spa ujisikie vizuri ,itunze tea bags baada ya matumizi kwa
dhumuni la kutumia tena. Furahia aromatherapy na athari zake za kujipumzisha .Loweka miguu
yakoChai ni
kiburudisho chenye nguvu,huziba matundu na kuondoa ngozi chafu yenye
mafuta.Kamua...