Ubunifu wa Matumizi
ya Tea BagsUsitupe tea
bags iliyotumika tena!
Tumia zaidi iliyotumika na usave hela na kupunguza taka.Kutibu macho
na tea bags!
Kuzuia uvimbe wa chini ya macho kwa kutumia tea
bags.Tumia kwa spa ujisikie vizuri ,itunze tea bags baada ya matumizi kwa
dhumuni la kutumia tena. Furahia aromatherapy na athari zake za kujipumzisha .
Loweka miguu
yakoChai ni
kiburudisho chenye nguvu,huziba matundu na kuondoa ngozi chafu yenye
mafuta.Kamua teabags iliypotumika na utumie mabaki ya mfano wa chai kwa kunawia
miguu.
Chai nyeusi au black tea ni nzuri kwa kuondoa harufu mbaya miguuni, ambapo chai ya kijani hutuliza mwili nakuutia nguvu.
Umeungua?
Chai
huponesha kuungua kwa jua, au kuchomwa na kiwembe au maumivu ya kuungua madogo
madogo yatokanayo na kuunguzwa na sufuria au pasi.Hifadhi tea bags zilizotumika
kwenye friji kwa muda wa wiki hadi mbili(njia nzuri na sahihi ya kuhifadhi
kuweka kwenye mifuko yenye kufunga yaani air tight silicone bag,yenye
unyevu),na utoe michache kwa ajili ya kutibu majeraha madogo kwenye ngozi
yako.
Asidi za tannic ipatikanayo kwenye chai huzuia mtiririko wa damu kwenye cappilarries zako,inapambana na maumivu ya kuvimba au malenge lenge. Unaweza tumia tea bags kutibu kuvimba kulikosababishwa na kung’atwa na mdudu na hutibu vizuri na haraka!
Kwa mapishi
matamu ya pasta na grainZidisha
utamu na ladha kwa kutumia tea bags pembeni mwa sufuria unayopikia pasta
,quinoa,wali,au aina yoyote ya nafaka.Manjano iliyosagwa ni tamu kwenye
wali,Rooibos ni tamu ikichanganywa na oatmeal,na jasmine green tea ikichangnywa
na yenye ladha kwenye pasta!
Huzuia kutu
kwa sufuriaTannis
husaidia oxidation,ambayo unaweza kutumia kuondoa kutu! Tumia kwa
kufuta kutu kwenye pots,sufuria,na vifaa mbalimbali jikoni na utensils kwa
kutumia tea bags kabla ya kuacha kukauka kwenye shelves.
Wadudu majumbani kama vile inzi na panya hawapendi harufu ya chai.Acha tea bags chache
zikauke baada ya matumizi, weka ndani ya makabati.Aina ya mint ni nzuri kwa
hili,na tea bags zilizotumika italeta athari zaidi ya harufu nzuri ndani ya
kabati na itaua vijidudu.
Rutubisha
mbolea yakoKunyunyizia
kilichokuwemo kwenye tea bags iliyotumika kwenye mbolea itaongeza mchakato wa
kuozesha zaidi,itasaidia mabaki ya chakula kuoza
haraka.
Ongeza majani ya chai katika mbolea yako husaidia kuzalisha bacteria
ambao watazalisha rutuba sana kwa mimea yako,na hutengeneza mbolea kuwa ni yenye rutuba
unapoongezea kwenye bustani yako au mimea nyumbani kwako.
Ukali wa chai wa hali ya juu pia hufanya kazi nzuri kwa kuondoa mafuta .Tumia tea bags chache tia kwenye dishwasher pindi uoshapo sufuria na bakuli zenye mgando wa mafuta,na tumia tea bags kama facial cleanser!
Share and enjoy!
0 comments:
Post a Comment