• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Tuesday, January 7, 2025

8 MATUNDA UNAYOFIKIRI NI MBOGA

12:54 AM // by Kalma // No comments

8 MATUNDA UNAYOFIKIRI NI MBOGANyanya zilizokomaa ni nzuri, lakini unaweza kula mbichi? Kwa mkulima sio kitu rahisi. Wataalamu wa mimea watakuambia nyanya ni tunda, na watu wengi wanajua hivyo. Lakini baadhi yao wengi hatujui haswa hii,nyanya kisheria ni mboga. Mnamo 1893, mahakama kuu iliamuru nyanya iwe kundi la Mboga”kulingana na jinsi inavyotumika, na ikawa maarufu kwa kujulikana hivyo mpaka mwishowe.Kama unashangaa kwanini mahakama kuu...