8 MATUNDA UNAYOFIKIRI NI MBOGANyanya zilizokomaa ni nzuri, lakini unaweza kula mbichi? Kwa mkulima
sio kitu rahisi.
Wataalamu wa mimea watakuambia nyanya ni tunda, na watu wengi wanajua hivyo. Lakini baadhi yao wengi hatujui haswa hii,nyanya kisheria ni mboga.
Mnamo 1893, mahakama kuu iliamuru nyanya iwe kundi la Mboga”kulingana na
jinsi inavyotumika, na ikawa maarufu kwa kujulikana hivyo mpaka mwishowe.Kama
unashangaa kwanini mahakama kuu iliamuru kitu kama hichi , ilikuwa inahusiana na
mambo ya kodi yaani Taxes. Kipindi hicho mboga zilikuwa zinalipiwa kodi, lakini
matunda yalikuwa hayalipiwi kodi.
Kuna baadhi ya matunda tunafananishwa na mboga, imetokana
na fikra za watu na jinsi yalivyokuwa yanatumika . Haya ni mengi
yatakushangaza.
OlivesOlives ni matunda kwasababu yanatokana na matunda ya olive
tree.
Kama ungeniliuliza mimi, ningelikwambia olives yalikuwa ni
mboga , na sio matunda. Lakini olive ni matunda kwasababu yametokea kwenye
matunda ya olive tree.
Matunda yanatokea kwenye ovary iliyopevuka ya mmea na
ovary inayopatikana kwenye maua. Kwasababu hiyo mboga zote kwa kitaalam ni matunda-yanaota
kutokea kwa maua.
BilinganiBilingani kiufundi ni berries –kweli, haya makubwa ! kweli haswaa
Tunachukulia bilingani ni mboga. Sijawahi kuona likiliwa
bichi. Ni matamu -au wakati mwingine ni chachu au chungu-sio tamu. Lakini sio hivyo
kwa bilingani tu kwa wataalamu wa
mimea ni tunda,wanaichukulia ni
berries. Berry kubwa yaani kubwa sana.Sioni mimi binafsi kulitupa moja
linapokaribia kuwa laini kwa wakati wowote .
Boga,squash na zukini
Boga,squash, na zukini yenyewe yanaanzia kwenye maua ya
mfano wa mizabibu yaani vines.
Boga na aina ya squash ,ikiwemo zukini, yanaanzia kwenye maua ya vines na kiufundi ni matunda.
Tango
Matango,ni kama mpwa wa squash,nalo ni tunda.
Matango yanafanana sana na maboga na squash, na ni kama
mtu na mpwa wake, kiufundi ni matunda. Unapoliona linaning'inia kwenye vines na matunda
bado huwa yameshikana mpaka mwisho, hivi inaleta maana sivyo?
Maharage ya kijani
Maharage ya kijani yaani haya ndiyo huonekana kama
mboga,hili ni kweli? Pindi mtoto mdogo hataki kula maharage ya kijani, nini
baba na mama huwa wanasema? "Kula mboga zako".
Labda kama maharage ya kijani yaliitwa matunda ,wakati
kiufundi ni sahihi kuwa ni tunda,Watoto wangekuwa
wanahamu zaidi kula .
BamiaBamia —haijalishi inatokana na familia gani -imepata
umaarufu kwa miaka sasa.
Umaarufu wa kukuza bamia kwa miaka michache iliyopita,na haikuwa
na hadhi kivile nayo ni mboga ni yatosha kuwa kama kale au cauliflower,bado inaweza kuwa
na umaarufu mkubwa. Na hata kama inayo, utajua ukweli kwamba si Mboga. Nayo ni tunda.
Pilipili
Aina ya pilipili Habanero
inakuzwa kwa mapenzi ya kivuli.
Ni ukweli inaonekana sio sahihi kwamba pilipili kuwa katika hii list,haswa
pale unapogundua kitu kama habanero – pilipili ina joto mara 70 ya jalapeno –
nayo kiufundi ni tunda. Lakini huenda pilipili iko kwenye upande wa ladha ya
tamu mfano pilipili boga au inakuwa upande wa kiungo kikubwa kama habanero,ambayo
yote hutokea kwenye matunda na huwa ni tunda.
Kwanini tunaita baadhi ya matunda ni mboga?
Ratatouille
kiufundi, chakula aina ya ratatouille ni kitamu, kinaweza kuwa chakula cha
kuokwa yaani baked au cha tunda.Kwanini matunda yote haya yamejulikana kama mboga? Kwa hisia
nzuri kwakuwa sio matamu ladha yake, na ni kwasababu sukari halisi iliyo ndani yake inapatikana
kwa kiasi kidogo, watu wanayopika hayo wanayatenga kama ni mboga kuambatana na
ukweli kwamba mboga ya kiukweli inatokea kwenye majani,stalks,mizizi, tubers,na
bulb za mimea, au mboga ni matunda ya mimea, kama broccoli.
Lakini fikiria hili. Chakula kama ratatouille kimetengenezwa kutokea kwa nyanya ,bilingani na squash, tukizungumzia kwa kitaalam wa mimea ni kama salad ya matunda ya kuokwa
Nyanya ni tunda au mboga?
Share and Enjoy !
0 comments:
Post a Comment