CHAI YA KIJANI
Kikombe cha chai ya kijani ni kizuri
kwa kuianza siku yako.
"Ni kitu chenye afya naweza
fikiria kukinywa," by Christopher Ochner, PhD. He is a research scientist
in nutrition at the Icahn School of Medicine at Mount Sinai. "Green tea is
beyond a super food."
Kwanini chai ya kijani nzuri kwako?Ni
kwasababu ya catechin iliyokuwamo," amesema Beth Reardon, RD, a Boston
nutritionist. Catechins ni antioxidants ambayo hupambana na vile vile huzuia uharibifu wa seli.Chai ya
kijani huwa sio ya kutengenezwa kabla haijawekwa katika kikombe chako,kwa
hiyo ni tajiri wa catechins.
Afya ya moyo
Chai ya kijani imeonyesha kuongeza
msukumo wa damu na kushusha cholesterol.
Mnamo 2013 studies nyingi zilionyesha
chai ya kijani au green tea husaidia kulinda na issues nyingi zihusianazo
moyo,kutokea high blood pressure hadi congestive heart failure.
Afya ya akili
Kizuri kwa moyo huwa ni kizuri kwa
akili pia,na akili yako huitaji mishipa ya damu yenye afya nzuri pia.Moja ya
studies kule Uswiss,imeonyesha kwamba mtu anaekunywa chai ya kijani ana ufanisi
mzuri wa kumbukumbu katika ubongo au akili yake.Chai ya kijani husaidia kuziba
kujengwa kwa Plaques ambayo inaunganishwa na vijidudu vya Alzheimer’s.
Kisukari
Chai ya kijani imeonekana kusaidia
kuweka sawa blood sugar
kwa watu wenye kisukari.Kwasababu catechins hushusha cholesterol na blood pressure,hulinda
na kuharibika kwa kisababishi kutokana na high-fat diet .
Kupunguza uzito
Chai ya kijani husaidia kuongeza na
kubadilisha pia metabolism,kwahiyo unaunguza calories nyingi tokea kwenye
mafuta .Chai ya kijani pia husaidia kuongeza uzito uliopotea.
Ni fagio la kusafisha vyakula vya
sukari au vinywaji vya sukari.Kila kitu hubakia sawa,kama 1-2 kikombe cha chai
ya kijani kwa soda moja ya kopo,kwa mwaka mwingine utakua umesave zaidi ya calories 50,000 . Ambayo ni zaidi ya pounds
15.
Hulinda na cancer
Chai ya kijani imeonyesha athari kwa
cancer.Lakini chai ya kjani imejulikana na imetambulika kisomi zaidi huongeza
seli zenye afya katika stage zote za ukuaji.Kuna dalili za kuwa chai ya kijani
husaidia kuangamiza seli za cancer.
Hupunguza stress
Kufyonza au ile style ya kunywa chai
kwa kuifyonza husaidia kuwa mpole na kupumzika.Amino acid inayoitwa amino acid theanine
hupatikana kwenye chai ya kijani huleta afueni ya mapumziko na calming.
Tips za afya:
- Usiongeze chai ya kijani kwenye maji yanayochemka sana.Utaziua catechins. Vizuri maji yafikie 160-170 degree
- Weka ndimu Vitamin C hutengeneza compounds ambazo rahisi kuyeyuka katika chai ya kijani.Maziwa kwa maana nyingine kwenye chai ya kijani huleta ugumu ya kuyeyusha catechins.
- Kipimo cha compounds za afya kwenye chai ya kijani hutofautiana. Rule of thumb: Ya kutengeneza mwenyewe ina faida za kiafya nyingi zaidi kuliko chai ya kijani ya kopo.
Unaweza kunywa kwa siku vikombe 4
,viwili unaweza ongezea caffeine
na viwili usiweke. Japokuwa huonekana sio nzuri kiafya.Na pia sio njia nzuri ya
kujenga afya yako.