• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Thursday, August 6, 2020

Kusafisha vitu vya stainless Steel

7:57 AM // by Kalma // No comments

Kusafisha vitu vya stainless Steel  Najiuliza vipi vitang’aa vitu vya stainless steel.kwa vipi vibaki kuonekana vipya na mng’ao bila michoro ya vidole na uchafu?Kama nyumba yako ni kama yangu,imezungukwa na aina tofauti ya vitu vya stainless steel.Nimejaribu kila aina ya brand tofauti masokoni na nikapata jibu kwamba,haufanani usafi wa kila stainless steel, Na sio kila brand husafisha stainless steel.Tofauti ya brand za usafi zinatumika na...

Faida ya doormats,Rugs na floor Mats nyumbani

7:44 AM // by Kalma // No comments

Faida ya doormats,Rugs na floor Mats nyumbani   Rugs na Doormats sio kwamba ni kitu unique nyumbani ambacho kinaremba nyumba.Zina faida nyingi,pia,kama kusaidia kuweka nyumba safi mara zote .Kama unavyojua floor mat ambayo huwekwa chooni baada ya mabomba.Njoo tuone kwa pamoja kwanini floor mats,door mats,na rugs zinasaidia. Kwanini tunazihitaji majumbani kwetu? Floor Mats Kwa kuanzia,kuna hali nyingine,husaidia watu kuteleza...