• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Thursday, August 6, 2020

Faida ya doormats,Rugs na floor Mats nyumbani

7:44 AM // by Kalma // No comments

Faida ya doormats,Rugs na floor Mats nyumbani  
Rugs na Doormats sio kwamba ni kitu unique nyumbani ambacho kinaremba nyumba.Zina faida nyingi,pia,kama kusaidia kuweka nyumba safi mara zote .Kama unavyojua floor mat ambayo huwekwa chooni baada ya mabomba.
Njoo tuone kwa pamoja kwanini floor mats,door mats,na rugs zinasaidia.

Kwanini tunazihitaji majumbani kwetu?
Floor Mats

Kwa kuanzia,kuna hali nyingine,husaidia watu kuteleza na kuanguka.Kila chumba majumbani ni tofauti,lakini uliwahi fikiria hili.Sasa basi,tuangalie door mats kidogo.Door mats ina faida za ukweli za kuhifadhi uchafu wa nje pindi ufutapo miguu.
Door mats pia ni kumbusho kubwa kwako na kwa mwingine kuhakikisha sakafu ni safi .
Door-Mat za mbele
Kimojawapo kizuri kuhusu door mats, pia, ni rahisi kuitunza. Hey, zinakaa nje ya mlango,na zina msongamano mkubwa yaani zinafanya kazi sana.
Of course, unaweza tumia floor mat ndani vile vile kwa sehemu mbalimbali kwa kuiweka sakafu safi muda wote.
Rugs

Pindi ununuapo  floor mats na rugs,unatakiwa ujue jinsi ya kuzisafisha.Inapokuja kwa doormats ambayo inakaa nje na unaweza kuikung’uta hapo hapo chini.Kwa maana nyingine,ni rahisi kusafisha.
Ni muhimu kujua kusafisha rugs na floor mats unazotumia,vilevile.Zinatakiwa ziwe na mvuto,hazitakiwi ziwe kinyume chake yaani chafu.Kwa maana nyingine,hazitakiwi ziwe chafu huleta picha mbaya nyumbani kHakikisha kama unazo na unazitumia zinatakiwa ziwe safi muda wote.
   

       

0 comments:

Post a Comment