
Kusafisha vitu vya stainless Steel
Najiuliza vipi vitang’aa vitu vya stainless steel.kwa vipi
vibaki kuonekana vipya na mng’ao bila michoro ya vidole na uchafu?Kama nyumba
yako ni kama yangu,imezungukwa na aina tofauti ya vitu vya stainless steel.Nimejaribu kila aina ya brand tofauti masokoni na nikapata
jibu kwamba,haufanani usafi wa kila stainless steel, Na sio kila brand
husafisha stainless steel.Tofauti ya brand za usafi zinatumika na...