
10 FAIDA ZA KUSOMA KILA SIKULini ilikua mwisho kusoma kitabu,au
gazeti,au maandiko yoyote?Je una tabia ya kusoma kila siku kwenye mitandao ya kijamii yaani Tweets,Facebook,au maelekezo katika vitu unavyotumia?Kama ni mmoja wapo ambaye
husomi kila mara,kwa hali hiyo unakosa mambo mengi: kusoma kuna faida nyingi
sana , na nyingine hizi zifuatazo hapo chini.
1.
Kuistua akili
Wasomi wengi wameonyesha kwamba mara
zote akili ikiwa inafanya kazi ina uwezekano...