7 HIZI NI SABABU YA KUWA NA BUSTANI
JIKONI
Kama
ulikua unawaza mawazo ya kukuza viungo vyako mwenyewe,ni vizuri ukafanya hivyo!
Chagua sehemu karibu na dirisha au balcony ya jikoni au ndani jikoni na upandishe
mimea.Hutajutia! hizi ni sababu kwanini bustani za jikoni zitakushangaza.
1. Unapata viungo fresh pale unapohitaji
Mara nyingine unahitaji majani ya mint au basil,
unachuma tu hapo kwenye mmea wako
na utaacha kwenda kununua. La kuongezea huhitajiki kununua fungu zima na
kulihifadhi kwa mahitaji ya kutumia jani moja.
2. Unajua
haswa kile unachoweka kwenye chakula chako
Siku
hizi,na hizi dawa zinazowekwa kuzuia wadudu,ni ngumu kujua kama chakula ni salama au laa.Kama unakuza au unazalisha
mwenyewe,unajua kuwa ya kwamba na kuwa na uhakika kuwa chakula au mboga hizi ni salama na hazina dawa.3. Inakua
kazi rahisi
Mimea haina gharama kubwa haswa pale inapokua imetulia,kikubwa kinachohitajika ni maji kidogo.Baada ya muda utatunza fedha yako ile na haitakuwa tena kwa ajili ya kununua mboga mboga,na haswa pale unapohitaji vyakula vizuri na vilivyo fresh.
4. Unakua ni mwenye afya
Kama unazalisha na kuitunza mimea kama tulsi na mint,unaweza kuwa unakula jani moja au majani mawili kila siku,au ukaweka kwenye chai ya asubuhi, au ukanogeshea mapishi yako.
Hivi viungo vina faida ya dawa za
kutosha ambazo zimo kwa ajili ya kutibu magonjwakama vile changamoto ya upumuaji,inatunza afya ya
meno,hutibu homa,asthma,changamoto ya mapafu,ugonjwa wa moyo na stress yaani msongo wa mawazo.
5. Unapata dozi ya utulivu ya kujituliza tena ya kiasili.
Bustani ni
ina kazi ya kutuliza na kupunguza au kuondoa kiasi chamsongo wa mawazo na
kusaidia kuwa mwenye kupumzika.Kuzungukwa na mimea asili unatakiwa kuwa na hali ya muonekano
mzuri wa afya ya akili, Pamoja na maandiko ya wasomi mengi kuona maajabu kwa
ujumla.
6. Mimea
hufukuza wadudu/mbuKama
unachagua viungo haswa kwa kutulia,inaweza kufukuza mbu kwa kiwango
kikubwa,inazuia na kupunguza kung’atwa na mbu na kinga dhidi ya dengue na
malaria.
Mmea mzuri kwa kinga ya mbu ni marigold-weka mmea mmoja katika kila
mmea wa viungo.Na rangi zake zitang’arisha nyumba yako pia!
7. Hali ya kushangaza
Unaweza
kudharau wazo la kupanda mimea,lakini ukianza kukuza ya kwako mwenyewe,
Utajua
haswa tunachomaanisha.Kila mpigo mmoja ,branch au maua yanayokuzwa itakupa hali
ya kuridhika na kukupatia furaha wakati wote.
0 comments:
Post a Comment