NDIMU,
Faida za ndimu zimekua maarufu kila
kona.Hutumika kama tiba ya nyumbani kwa meno yanayouma,au njia za asili za
kusafishia nyumba,ndimu hufanya yote hayo.
Kuanzia maisha yote,mpaka kwa hii
post mpya,hata kwenye maandishi kibao ipo.
Nimesoma matunda mengi ya ajabu
haikukosekana ndimu,na funs nyingi ndani yake na mawazo kibao kwa matumizi ya
tunda ndimu.
Hizi ni zile nilozichagua mimi
kukufikishia na wewe mdau wangu.
Jaribu
kunywa maji ya ndimu kiwe kinywaji cha kwanza asubuhi au 20-30 dakika kabla ya kula
chochote kustua gastric juisi.
unachotakiwa:
1/2
inch ya kipande cha tangawizi chembamba
Juisi
½ ya kipande cha ndimu
2
vikombe vya maji yalochemshwa
Asali
kuleta ladha
maelekezo:
Mimina
maji yalochemshwa kwenye tangawizi,yaache kwa dakika tano,na kisha weka ile
juisi ya ndimu na asali.
Kusafisha
Kutoa
harufu kwenye microwave:Jaza
maji kwenye glass na nusu kipande cha ndimu,na kisha weka ndani ya microwave
kwa dakika tano.
Kupolish /kung’arisha mbao: Tumia chupa ile ya kupulizia,weka
vijiko vya chai 2 vya olive oil na juisi ya kipande cha ndimu kuchanganya katika ½ kikombe cha maji ya
uvuguvugu ndani ya chupa.
Metali na ubao wa kukatia(cutting wood): nyunyizia chumvi katika nusu kipande cha ndimu na
sugua Suuza na safisha.
Afya
ya mdomo
Maji
ya ndimu yanaweza tumika kutunzia meno.Weka juisi ya ndimu katika jino
linalouma kuondoa maumivu,au sugua katika fizi kustopisha damu
isitoke.Unaweza kusafisha na kuondoa harufu ya mdomoni au pumzi,kama kusukutua maji ya
ndimu kwa sekunde 30.
Radiant Skin
Kutibu
tokea ndani na nje: Ndimu ina vitamin C ,ambayo kutumia
tunda ni vizuri katika kuondoa sumu na kutuma antioxidants katika ngozi.
Unaweza
kutibu kuanzia nje kwenda ndani: chukua zest ya ndimu na sukari na loweka
mchanganyiko huo na olive oil kwa dakika 30 kutengeneza scrub ya mwili nyumbani kwako mwenyewe.
Anza kusugua kwenye kiwiko cha mikono,na vifundo vya miguuni,na magoti
kuondoa ukavu wa hizo sehemu.
Share and Enjoy!
0 comments:
Post a Comment