5 MAKOSA
YA FANICHA ZA NGOZI(LEATHER)Ni nzuri, ya kudumu,yenye kupendeza kuketi,lakini
inawezekana kwamba unaharibu fanicha yako ya ngozi bila hata kujitambua? Ingawa
ngozi ni fanicha ya kudumu,na ni matokeo
ya asili. Epuka makosa ya kawaida ya fanicha ya ngozi linapokuja suala la
matengenezo na kusafisha pia.
Kuweka au
kuhifadhi Karibu na Joto na mwanga wa Jua
Uwekaji wa fanicha sebuleni mara nyingi hutegemea urahisi na
mvuto wa kuona. Lakini, ikiwa utaweka fanicha ya ngozi karibu sana na jua
linapochoma au aina yoyote ya kitu au kifaa chenye kuleta moto au hali ya hewa
ya joto, unaweza kuhatarisha fanicha yako ya ngozi.
Matoleo ya joto, radiator, na hita zinaweza kuleta uharibu wa
fanicha za ngozi na kufubaza hii hutokea kwa muda mrefu. Kwa kuongezea, sehemu ya jua au
mwanga wake wa jua unaweza kufifisha na kuharibu fanicha zako za ngozi, pia na kusababisha viraka
vyenye rangi ya mpuko kidogo pia. Hali mbaya zaidi ni pamoja na sehemu zilichanika
huwa kavu,zitasagika na kuchanika kabisa.
Kuweka
Vifaa vilivyochapishwa kwenye ngoziMagazeti, majarida, na hata vitabu vingine vinaweza kuchuja
kwenye fanicha ya ngozi wakati kimeachwa juu ya fanicha hiyo. Ingawa fanicha ni
mahali pazuri pa kuacha vifaa vya kusoma, utastukia una nakala ya ziada ya chapa kwa fanicha yako. Hii ni kweli
haswa kwa kurasa za majarida na rangi zao zenye kupendeza au kurasa za kuchorea
zilizo na michoro ya rangi juu ya fanicha izo. Ni bora kuzuia kuacha vitu
kwenye ngozi kwa kipindi chochote cha muda wote.
Kutogeuza cushions mara kwa mara
Ngozi inapendekezwa iwe na umbo lake vyema mara zote, kwa
hivyo wamiliki wanaweza kuwa wazembe zaidi katika kupuuza na kugeuza cushions za
fanicha. Mikunjo inayoendelea kwenye kochi za ngozi haziwezekani kurekebisha
kabisa. Dau bora kwa fanicha za ngozi ni kugeuza na kutoa cushions kila wiki.
kusahau
kufuta vumbiFanicha za ngozi inahitaji usafi wa vumbi kila
wiki.Hijalishi utatumia aina ya kitambaa cha microfiber au utatumia brush ya
vacuum cleaner,kubwa na la msingi ni umakini wa kufuta vumbi kila wiki.Vumbi ni
adui wa mengi,ikiwemo ngozi .Bahati kubwa adui huyu anaepukika kirahisi kwa usafi wa mara kwa mara na wa
wiki pia.
Matumizi ya vifaa visivyosahihi vya
kusafishia.Wamiliki wa fanicha na vifaa vya ngozi zuia matumiziz ya
sabuni na datergents,sprays, mafuta,na polishi zenye madhara au zinazoweza
kuharibu ngozi kwa fanicha yako.Fuatilia kwa kina maelezo ya viwandani vya aina
za dawa unazotumia na pindi kuna mkwamo tumia wataalamu.
Mara nyingi kitambaa kikavu,au matumizi sahihi ya kitambaa
kwa ajili ya usafi wa ngozi na maji vuguvugu ndio vitakiwavyo.Baadhi ya
wataalamu wa kusafisha aina ya vifaa vya ngozi wamekubali kipimo cha sawa kwa sawa maji na vinegar ni
kizuri,hata hivyo ukijipanga kutumia kitu kingine cha kusafishia hakikisha una
kua makini na madhara na faida kwa hiyo fanicha vizuri.
Anagalia vizuri tag za hiyo fanicha,angalia material yaliyotumika,au
wasiliana vizuri na wataalamu kina sakamia,zingatia ya kuwa usitumie product
ambayo haijapendekezwa kuepusha uharibifu wowote kwa fanicha zako.
0 comments:
Post a Comment