• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Thursday, November 6, 2014

4:52 AM // by Kalma // No comments

Kuimarisha afya kwa wazee(watu mzima).  Kula vyakula tofauti kutokea makundi yote ya chakula yatasaidia kukupatia lishe na afya katika mwili wako inayotakiwa kwa umri.Ulaji wa afya huwa ni kwa mipango ya matunda,mboga mboga,nafaka nzima na au low-fat au fat-free dairy; ikiwemo nyama,poultry,samaki,maharage,mayai na jamii ya karanga; na vyakula vilokuwa havina mafuta mengi,trans fats,cholesterol,chumvi (sodium) na sukari ya kuongezewa yaani...

Wednesday, November 5, 2014

Olive Oil kuondoa Stretch Marks

6:41 AM // by Kalma // No comments

Stretch marks ni kitu ambacho hakipendezi kuwa nacho katika ngozi yako.Kwa bahati mbaya,tunaweza epukana na hali hii mbaya ya marks kwa muda,na sana pale unapo nenepa au unapopungua uzito.Kipindi cha ujauzito,wanawake wengi wanapata hizo marks hata bila ya kutumia aina za cream tofauti tofauti.La zaidi,hizi marks zinakera na haziondoki haraka.Kama unatafuta ufumbuzi kwa hilo la kuondoa hizo stretch marks,Olive Oil huenda ikawa chaguo zuri kwako. Angalizo: Olive...

Tuesday, November 4, 2014

FAIDA ZA HILIKI

1:09 AM // by Kalma // No comments

HILIKI Hiliki ni asili ya ukijani katika misitu huko India.Kiungo hiki hutumika sana katika misosi India,pia hutengenezwa kama dawa katika Ayurvedic kama tiba ya ulcers ya mdomo,tatizo la uyeyushwaji chakula,na uchovu.Baadhi ya faida za kiafya za hiliki ni kali lakini tamu,uchachu pia, kwa sasa inachunguzwa kisomi zaidi.Ni vizuri kutumia hiliki katika vyakula vyetu sio kwa sababu ya ladha peke yake ,lakini faida za kiafya ndo kubwa la kuliangalia...