Stretch marks ni kitu ambacho
hakipendezi kuwa nacho katika ngozi yako.Kwa bahati mbaya,tunaweza epukana na
hali hii mbaya ya marks kwa muda,na sana pale unapo nenepa au unapopungua
uzito.Kipindi cha ujauzito,wanawake wengi wanapata hizo marks hata bila ya
kutumia aina za cream tofauti tofauti.La zaidi,hizi marks zinakera na
haziondoki haraka.Kama unatafuta ufumbuzi kwa hilo la kuondoa hizo stretch
marks,Olive Oil huenda ikawa chaguo zuri kwako.
Angalizo:
Olive oil hufanya kazi nzuri kuondoa
stretch marks.Kuondoa hii mistari kwenye ngozi sio kwa usiku mmoja tu,kwa
uhakika utaona utofauti ndani ya wiki au
wiki mbili
Kupakaa Olive oil mara kwa mara
huifanya ngozi kuwa nyeupe kama sio
kuondoa kabisa, hilo ndo linaloifanya Olive kuwa best solution kwa wajawazito
wenye stretch marks .
Kumbuka Stretch Marks:
Kabla hatujalizungumzia hili la
ufanyaji kazi wa Olive oil ,ni lazima tujue kwanini stretch marks zinatokea
kwenye ngozi.
- Ni geni lakini kweli,wanawake ndo wanatokewa na hizi alama zaidi kuliko wanaume.Wasichana kipindi cha umri wa kukua kama kuvunja ungo,na kipindi cha ujauzito .
- Haya makovu yako kwa wanawake sababu ngozi zao ni laini na flexible.Japokuwa,wanaume pia wanapata stretch mark kwa kuongezeka uzito au kupungua uzito kwa muda wa kipindi kifupi.
- Stretch mark in dermatology ni Striae.Hii mistari hutokea zaidi pindi ngozi ya juu ya ngozi hutanuka kuzidi uwezo wake.
- Specific sehemu za mwili ambayo huwa ni shahidi wa hizi mistari ni juu ya mikono na chini ya mikono,tumboni, thigh,kwenye makalio,na sehemu ya maziwa.
- Inaaminika zaidi na wataalamu kwamba stretch marks hutokea sana maeneo ya ngozi ambapo mzunguko wa Vitamin ni mdogo au hafifu.
- Stretching au shrinking ya ngozi tokea katika vipindi vya maisha,kwa zaidi kipindi cha kuvunja ungo na ujauzito,na kipindi cha kujifungua.
Kwa
nini Olive Oil kwa stretch Marks?
Unaweza ukajiuliza kwanini kuchagua olive oil kuondoa stretch
marks.Well,mafuta haya ya asili ni tajiri na chanzo kikubwa cha Vitamin
E,ambayo ni muhimu kwa afya ya ngozi.
- Olive oil,na kuwa na wingi wa Vitamin E ni nzuri kupakaa katika sehemu ambazo kuna mistari .Utapata matokeo mazuri kama utaanza kupakaa pindi stage za mwanzoni.
- Sio tu Vitamin E,Olive oil ni chanzo kizuri cha antioxidants.Husambaza Oxygen katika makovu hufanya ngozi kuwa laini na supple.Kwa muda mfupi, hizo alama zitaanza kupotea kiasili.
Ukweli
wa athari za Olive oil kwa Stretch marks
Stretch marks nyingi hutokea zaidi juu ya ngozi.Hata
hivyo Olive oil hupakaliwa juu ya ngozi.Ni muhimu kujua kwamba haiwezi
kufifisha mistari kwa ndani ,huondoa mistari kwa nje ya ngozi.
Matumizi ya mara kwa mara ya Olive oil huondoa mistari
kwenye ngozi na haionekani vibaya.
Ngozi ya binadamu iko flexible,lakini haina uwezo wa
kutanuka kuzidi uwezo wake.Ngozi hukua kwa haraka kipindi cha ujauzito
ambapo ngozi haiwezi tena kuhimili kubanwa.
Olive oil hufanya kazi lubricant
ambayo husaidia kutanuka kwa ngozi bila ya kupasuka.Kutumia Olive oil
hufanya ngozi kuwa laini na huwa haina maumivu kwa kutanuka kwake. Jinsi ya kujisugua au massage
na Olive oil kwenye stretch marks.
Olive oil kwa stretch marks kipindi
cha ujauzito ni solution nzuri ambayo utakua umeipata.Tumia maji ya uvuguvugu
na olive oil kwa kujisugulia maeneo husika.Hii itasaidia kwa haraka kusambaza
mzunguko wa damu katika hizo sehemu kwa
upana zaidi.Acha olive oil kwenye ngozi kwa muda wa saa nzima ili ngozi ifyonze
Vitamins kwenye mafuta vizuri.Fanya hivi kila mara kwa muda wa wiki .
SHARE!
0 comments:
Post a Comment