Kuimarisha afya kwa wazee(watu mzima).
Kula vyakula tofauti kutokea makundi
yote ya chakula yatasaidia kukupatia lishe na afya katika mwili wako
inayotakiwa kwa umri.Ulaji wa afya huwa ni kwa mipango ya matunda,mboga
mboga,nafaka nzima na au low-fat au fat-free dairy; ikiwemo
nyama,poultry,samaki,maharage,mayai na jamii ya karanga; na vyakula vilokuwa
havina mafuta mengi,trans fats,cholesterol,chumvi (sodium) na sukari ya
kuongezewa yaani ya kukorogea juu.
Kula vizuri haitakiwi iwe complicated.Anza
na huu ushauri kutokea kwa wataalam (Dietary Guidelines for Americans):
Kula matunda na mboga mboga.zinaweza kuwa fresh,
ziloganda au kwenye makopo.Kula zaidi mboga zilokooza rangi ya kijani kwa
mfano leafy greens au broccoli, na mboga za rangi ya machungwa kama karoti
na viazi vitamu.
Kula angalau tatu ounces ya nafaka nzima (whole-grain
cereals), mikate, crackers, wali au
pasta kila siku.
- Pata aina tata au hizi za mafuta kidogo ( low-fat) au
maziwa yasomafuta( fat-free dairy )(maziwa, maziwa ya mtindi au cheese) ambayo
fortified na vitamini D kusaidia kuweka na kuipa nguvu mifupa yako na afya
tele.
- Tengeneza mafuta tokea kwa vyakula vya afya unavyokula (polyunsaturated and monounsaturated fats). Pendelea tokea solid fats kuwa mafuta pindi unapoandaa msosi.
- Ongezea mazoezi au kazi za
mwili.
Wastanisha kazi za mwili yaani
physical activity na mlo wenye afya iwe ndo vikorombwezo vyako kwa kutengeneza
afya nzuri na kuwa fit.Weka malengo
kufanya kazi au mazoezi angalau kwa dakika 30 kila siku.Unaweza kupumzika kwa
hilo zoezi lako au hiyo kazi kwa dakika 10 mara kwa mara kwa kila siku
Kama hauko active, anza na kwa
mazoezi au kazi kwa dakika chache,kama vile kutembea, na iwe unazidisha muda
kadiri hali inapokuwa nzuri au fit.
Pata ushauri kwa muuguzi wako wa
afya kabla ya kuanza mazoezi mapya au kazi mpya ambayo hukuizoea kuifanya siku
zote.
0 comments:
Post a Comment