
Faida ya saladKutumia au kula salad kila siku huleta faida nyingi
mwilini. Hata hivyo salad ni afya na lishe rahisi ambayo mtu anatakiwa iwe ni
tabia ajizoeshe nayo katika mlo wake.Ni rahisi kuitengeneza,salad hukuweka
karibu kila siku kwa kupata mboga mboga na matunda kama ilivoshauriwa.Unaweza
kuongeza mafuta iwapo utakua unakula kila siku matunda na mboga mboga na bado ukajenga afya yako kutokea faida za salads.
Fiber
Faida...