
Ni jambo zuri kujua aina ya vyakula vinathamani zipi katika miili yetu.Chakula ni jinsi tunavyokitumia sisi wenyewe ,na bora zaidi kukiangalia faida ya chakula,kama ni chanzo cha nguvu mwilini mwetu.Tukiwa na ufahamu wa faida za chakula itatusaidia kula vyakula vizuri zaidi katika ubora wa afya,kwa kujisikia tuko vizuri,kiafya na kiakili pia.Nilikua naangalia njia za kukuza na kuboresha kumbukumbu,nilichogundua ni kwamba vyakula tunavyokula ni chanzo...