• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Sunday, November 21, 2021

KUTUMIA NDIMU KWA:

10:34 PM // by Kalma // No comments

  NDIMU,Faida za ndimu zimekua maarufu kila kona.Hutumika kama tiba ya nyumbani kwa meno yanayouma,au njia za asili za kusafishia nyumba,ndimu hufanya yote hayo.Kuanzia maisha yote,mpaka kwa hii post mpya,hata kwenye maandishi kibao ipo.Nimesoma matunda mengi ya ajabu haikukosekana ndimu,na funs nyingi ndani yake na mawazo kibao kwa matumizi ya tunda ndimu. Hizi ni zile nilozichagua mimi kukufikishia na wewe mdau wangu.          Kuondoa...

Friday, November 19, 2021

5 MAKOSA YA FANICHA ZA NGOZI(LEATHER)

1:35 AM // by Kalma // No comments

 5 MAKOSA YA FANICHA ZA NGOZI(LEATHER)Ni nzuri, ya kudumu,yenye kupendeza kuketi,lakini inawezekana kwamba unaharibu fanicha yako ya ngozi bila hata kujitambua? Ingawa ngozi ni fanicha  ya kudumu,na ni matokeo ya asili. Epuka makosa ya kawaida ya fanicha ya ngozi linapokuja suala la matengenezo na kusafisha pia.Kuweka au kuhifadhi Karibu na Joto na mwanga wa JuaUwekaji wa fanicha sebuleni mara nyingi hutegemea urahisi na mvuto wa kuona....

Thursday, November 11, 2021

KUONDOA M-BA.

1:24 AM // by Kalma // No comments

KUONDOA M-BA M-ba(dandruff)huenda ikawa ni madhara ya ngozi kavu,au hali ya ngozi inayoitwa seborrheic dermatitis.Huweza sababishwa na eczema, psoriasis, au, kawaida zaidi,kasi ya kukua kwa fungasi anaitwa malassezia. Dawa za kutibu inaweza kuwa shampoo pamoja na zinc pyrithione, ambayo hukomesha fangasi na bacteria, ketoconazole, nayo inapambana na fangasi; coal tar na selenium sulfide,ambayo hukuza na kuua seli zilokufa katika ngozi ya kichwa;...