Ondoa stress wakati wa kuhama
Kuhama ni wasiwasi ulojaa msongo wa mawazo (stressful).
Ni kipindi cha hisia zaidi ambacho ni kigumu kukusanya au kupack kila kitu ndani ya nyumba ulipoishi.
Na zaidi kuondoa maisha ya vitu bila kuvichanganya,ni rahisi kuelewa kuwa ni balaa.Pamoja na mipango midogo tu na muono wa mbali,ni ngumu kuhama bila ya stress.Hizi ni step rahisi ukizifuatilia zitakurahisishia kuhama kwako
Ni kipindi cha hisia zaidi ambacho ni kigumu kukusanya au kupack kila kitu ndani ya nyumba ulipoishi.
Na zaidi kuondoa maisha ya vitu bila kuvichanganya,ni rahisi kuelewa kuwa ni balaa.Pamoja na mipango midogo tu na muono wa mbali,ni ngumu kuhama bila ya stress.Hizi ni step rahisi ukizifuatilia zitakurahisishia kuhama kwako
Jipe muda wa kutosha
Kuhama peke yake ni shughuli pevu.Na mwanzo wa kufungasha
hautakufanya usiwe na haraka ya kumaliza,na huleta hamasa ya kuvipakua
kiukweli.
Ukijipa muda wa kutosha utapanga vitu vizuri,hautavitupia au kurundika vitu kwenye maboksi.Muda wa kutosha wa kupanga,kuweka sawa,na kusafisha utashangaa hautakusababishia stress kabisaa.
Tengeneza orodha(Checklist)
Weka orodha ya vitu unavyotaka vipangwe na iwe
rahisi kwako kuifuatisha orodha yako.Njia hii itakurahisishia kutosahau hata
funguo au bakuli ndogo ndogo zile.
Panga mizigo vizuri
Kwa kawaida inaonekana kupanga mizigo ndani ya vifungashio
chochote ndo suluhu kwa kuepuka usumbufu.Hii inaweza kuleta shida mbele ya
safari yako.
Fikiria utakavyorundika mizigo ya maboksi ndani ya truck
utakalosafirishia mizigo na uharibifu wa baadhi ya vitu vitatumia muda wako
mwingi,na mizigo mingine hata kuanguka.Badala yake,unaweza kukodi wahamishaji
mizigo au nunua maboksi na upange mizigo vizuri.
Na maboksi madogo madogo
yatasaidia kutorundika mizigo mingi ambayo husababisha maboksi kuchanika au
kutobolewa wakati wa kuhamisha.Maboksi ya size ndogo yatakurahisishia kuhifadhi
mizigo kwa salama zaidi.
Safisha pindi unavyopanga
Hakuna kigumu kama kila kitu kitakua kwenye boksi,kikubwa
unachotakiwa ni muda mwingi utatumia kuchunguza vurugu zilizobakia.Ondoa
wasiwasi kwa kusafisha unapoondoka.
Umetia mizigo ya bafuni kwenye
maboksi?Safisha kidogo bathtub wakati wa kupanga vifaa vya bafuni au
chooni,futa pawe safi ukimaliza.
Kusafisha wakati unahama,pindi mizigo yote umeshaipaki kitachobakia kikubwa ni kufagia au kudeki,huondoa wasiwasi kwa vitu vidogo dogo.
Kusafisha wakati unahama,pindi mizigo yote umeshaipaki kitachobakia kikubwa ni kufagia au kudeki,huondoa wasiwasi kwa vitu vidogo dogo.
Label, Label, Label!
Kupata muda wa kupanga vizuri ni vizuri sana tena sana,lakini
bila ya kulebo vizuri,mizigo ambayo itabaki utaipanga vizuri nayo.Kuhakikisha
kila boksi la mzigo liko tayari kwa kuhamishwa au kupakizwa kwenye chombo cha
usafiri kuelekea inapokwenda,na huzuia kuvurugika na kuhangaika kutafuta
miswaki ilipo,ni muhimu kulebo boksi za mizigo.
Taarifa ya ziada ya mzigo hurahisisha
kazi ya kupangua na kupanga upya.Tunasahauri
alama za rangi kwa vyumba kurahisisha,Kuona kwa uhakiki wa mizigo
iliyofungashwa.Hakikisha unabandika vizuri lebo zako kwenye maboksi ili zisije
kutoka na kupotea!
Ziada ya kulabel vyumba, ambavyo ni
Wakati unapanga nyumba au ofisi yako itapokua,nafasi kubwa
ya usaidizi ni kulebo maeneo hata wanaokusaidia kupanga huwa ni kazi rahisi
kujua huu mzigo ni wa chumba kwa mfano cha watoto n.k.
Please nahitaji maboksi ya kuhamishia vitu please contact 0746576162
ReplyDelete