Thursday, September 23, 2021
Monday, September 13, 2021
Ufumbuzi wakati wa kuoka
Ufumbuzi wakati wa kuoka
Epuka haya matatizo ya kuoka
Na haraka tafuta suluhisho inavyowezekana.
Kuna ajali nyingi ambazo zinaweza kutatuliwa pamoja na whipped cream au smear au frosting pia.
Tumezielezea baadhi ya matatizo ya kuoka ambayo
unaweza kuyaepuka na vyovyote iwavyo basi rekebisha.
Cookies zilizoungua chiniCookies zinaweza kuungua kwa dakika tu. Chagua sheet za
uhakika za kuokea(nyembamba na nyepesi ni nzuri,)toa macho yote kwa cookies
wakati wa kuoka haswa reki ya kati.
Kama cookies zako zinakuwa za brown
kati,basi weka kati kati whipped cream,ice cream au frosting.
Kama zimekua muonekano
wa kuungua,kata juu ipendezeshe kwa kuipamba juu au katikati weka layer ya ice cream-
nani hapendi cookies na cream?
Cake nzitoCake huwa ni delicate-ukichanganya kwa mdogo mdogo,Changanya
Pamoja mahitaji tu yachanganyike vizuri na
cake yako itakuwa nyepesi,na itapumua vizuri kwenye oven.
Kuchanganya sana
inasababisha kuganda,inaleta uzito usiotakikana.
Kama cake yako ni leaden,kata
kata vipande na loweka kwa syrups au shira nyepesi,whipped cream au liquer kuifanya kuwa
moisten.
Cake iliyonywea/iliyojirudi.Tunajua cake zina harufu nzuri,usifungue mlango mpaka iive
kabisa;punguza temperature ya jiko,itasababisha keki kunywea.
Badala yake ,tumia
oven thermometer na haraka chomeka kijiti au toothpick kati kuangalia kama
imewiva kwa ndani mpaka chini.Acha cake yako ipoe vizuri kuepusha mabadiliko ya
hali ya hewa.
Kwa bahati nzuri,keki iliyonywea au iliyorudi bado itakuletea
matokeo ya makofi kwa wageni wako.
Pie ya ukoko iliyoungua Kama pie yako inaonekana kuungua yaani imekua rangi ya brown
sana mapema tu,funika na tin foil au pie crust protector.
Kwa pie ambayo inatoka
jikoni kati imeiva vizuri lakini nchani au pembeni imeungua,yaani hapo kwangua ukoko au palipoungua.
Kama uzuri wa ncha unaweza kukwanguliwa, huna haja ya kupambia na
ladha za kuficha kuungua.Pie yako bado itaonekana nzuri na ladha nzuri kama
kawaida tu!
Runny FrostingMaji mengi inapelekea kuleta hali ya kutepeta.Changanya zaidi na
confectioners sukari -au cocoa powder kama ni chocolate-mpaka frosting iwe nzito.Iweke
kwa friji kama jikoni kwako kuna joto.
Kwa keki za layer,frost layer na uiweke
frijini mpaka hapo kabla ya kuifrost kwa upande wa nje.
Cake iliyopasuka juu au pie iliyotengeneza ukoko
Keki iliyopata ufa inamaanisha ukandaji wako wa unga/donge ilikua
mgumu sana.Kwa pie: Ongeza maji kiasi kwa unga au donge la pie yako au futa na brush kwa maji kabla ya kuweka
frijini au kuikunja.
Kata madonge zaidi kwa maumbo mbalimbali pembeni;itakuwa
rahisi kuucover ufa wowote kwa aina yoyote na mapambo.
Kwa cake:Changanya maji
kidogo kwa unga/donge uliyokuwa mgumu.
Cake mara nyingi huwa nzuri ikiwa frosting
au whipped cream kwa vyovyote,kwa hiyo,tengenezea au pipe na cement.
Cake au Cookies zilizopasuka Kulundika keki kwenye oven iliyopata moto sana husababisha
keki au cookies kuvunjuika au kupasuka.
Usiruhusu sufuria zako kushika au kuweka
hata kama inch moja upande na karibu sana na jiko.Wakati mikono mizuri inapasua kilichookwa
vizuri.Tumia ujanja!
Kata keki iliyopasuka au kata vipande pande alafu iwekee
layer ya matunda,au pudding,ice cream au whipped cream na iweke kwenye friji
ijiachie.
Mwishowe imewezekana,lakini desert tamu na ya uhakika.
Enjoy and Share!.
Sunday, September 5, 2021
Sababu ya kula tangawizi kila siku
Sababu ya kula tangawizi kila siku



Ushawahi kupata maumivu makali ya kichwa,hakuna dawa yaeza saidia?Huenda ikawa ni migren,lakini tangawizi inaleta nafuu kwa maumivu hayo.
Kupambana na Distention
Kupambana na chango,au baada ya mlo wa mchana au usiku
ukaanza kusikia maumivu ya chango la hedhi.Wengi tumejisikia hivyo kawaida
sana lakini tangawizi ni nzuri pia
kupunguza hisia za maumivu hayo.
Inapambana na maumivu ya viungo vya mwiliMaumivu ya viungo yaweza kusababisha kuwa mgonjwa kila leo
yakiwa serious.Na kweli,daktari wako anatakiwa akushauri kitu,lakini hata
hivyo,tangawizi haiwezi kudhuru na ni nzuri kwa maumivu kama haya.
Maumivu ya hedhi?Hayapo tena!]Kuna dawa tele za kupambana na maumivu ya hedhi lakini kama hupendi
kumeza dawa kama mimi,unatakiwa kuzingatia kujaribu tangawizi.Itapunguza maumivu
na kusaidia kujisikia vizuri.
kukinga na ugonjwa wa kisukari
Kuna aina ya gonjwa la sukari ambayo huweza kumtokea yoyote
katika maisha kama hawatakula kiafya na kutofanya mazoezi.Tangawizi huweza
kulinda hilo,lakini kiukweli haitoshi kufidia aina ya maisha .
kipindi cha mafua?sio kwako!Tumetaja kuwa kunywa chai ya tangawizi hutengeneza kinga za
mwili wako kuwa imara zaidi,lakini kipindi cha mafua,yaweza kuwa kiokoa maisha.Unataka
kuachana na ugonjwa huu wa wiki ?Kunywa chai ya tangawizi basi.
Supu Pamoja na tangawiziHatujataja mibadala ya kutosha jinsi ya upishi wa ladha ya
tangawizi,lakini hii mifano.
Tengeneza supu ya mboga mboga au kuku(inanoga na
chochote)halafu sagia tangawizi ndani yake.
Tumia tangawizi kama kiungoKimsingi,unaweza tumia tangawizi kama kiungo.Untengeneza rosti
la nyama?Nyunyiza tangawizi ndani yake na huwa ni nzuri zaidi.Tumia kama chachandu
pia,Hakikisha hautumii nyingi.Ladha yake ni nzuri na yenye hadhi kubwa mno.
Kula tangawizi mara kwa mara kikawaida hulinda vijidudu shambulizi kwenye moyo na hukinga vijidudu kwenye mzunguko wa damu.
Unaweza kuzidisha kuila
zaidi kama kuna kesi za maradhi ya moyo ndani ya familia yako kabla.
Enjoy na Share !