Sababu ya kula tangawizi kila siku
Ushawahi kupata maumivu makali ya kichwa,hakuna dawa yaeza saidia?Huenda ikawa ni migren,lakini tangawizi inaleta nafuu kwa maumivu hayo.
Kupambana na Distention
Kupambana na chango,au baada ya mlo wa mchana au usiku ukaanza kusikia maumivu ya chango la hedhi.Wengi tumejisikia hivyo kawaida sana lakini tangawizi ni nzuri pia kupunguza hisia za maumivu hayo.
Inapambana na maumivu ya viungo vya mwiliMaumivu ya viungo yaweza kusababisha kuwa mgonjwa kila leo yakiwa serious.Na kweli,daktari wako anatakiwa akushauri kitu,lakini hata hivyo,tangawizi haiwezi kudhuru na ni nzuri kwa maumivu kama haya.
Maumivu ya hedhi?Hayapo tena!]Kuna dawa tele za kupambana na maumivu ya hedhi lakini kama hupendi kumeza dawa kama mimi,unatakiwa kuzingatia kujaribu tangawizi.Itapunguza maumivu na kusaidia kujisikia vizuri.
kukinga na ugonjwa wa kisukari
Kuna aina ya gonjwa la sukari ambayo huweza kumtokea yoyote katika maisha kama hawatakula kiafya na kutofanya mazoezi.Tangawizi huweza kulinda hilo,lakini kiukweli haitoshi kufidia aina ya maisha .
kipindi cha mafua?sio kwako!Tumetaja kuwa kunywa chai ya tangawizi hutengeneza kinga za mwili wako kuwa imara zaidi,lakini kipindi cha mafua,yaweza kuwa kiokoa maisha.Unataka kuachana na ugonjwa huu wa wiki ?Kunywa chai ya tangawizi basi.
Supu Pamoja na tangawiziHatujataja mibadala ya kutosha jinsi ya upishi wa ladha ya tangawizi,lakini hii mifano.Tengeneza supu ya mboga mboga au kuku(inanoga na chochote)halafu sagia tangawizi ndani yake.
Tumia tangawizi kama kiungoKimsingi,unaweza tumia tangawizi kama kiungo.Untengeneza rosti la nyama?Nyunyiza tangawizi ndani yake na huwa ni nzuri zaidi.Tumia kama chachandu pia,Hakikisha hautumii nyingi.Ladha yake ni nzuri na yenye hadhi kubwa mno.
Kula tangawizi mara kwa mara kikawaida hulinda vijidudu shambulizi kwenye moyo na hukinga vijidudu kwenye mzunguko wa damu.
Unaweza kuzidisha kuila
zaidi kama kuna kesi za maradhi ya moyo ndani ya familia yako kabla.
Enjoy na Share !
0 comments:
Post a Comment