Ufumbuzi wakati wa kuoka
Epuka haya matatizo ya kuoka
Na haraka tafuta suluhisho inavyowezekana.
Kuna ajali nyingi ambazo zinaweza kutatuliwa pamoja na whipped cream au smear au frosting pia.
Tumezielezea baadhi ya matatizo ya kuoka ambayo
unaweza kuyaepuka na vyovyote iwavyo basi rekebisha.
Cookies zilizoungua chiniCookies zinaweza kuungua kwa dakika tu. Chagua sheet za
uhakika za kuokea(nyembamba na nyepesi ni nzuri,)toa macho yote kwa cookies
wakati wa kuoka haswa reki ya kati.
Kama cookies zako zinakuwa za brown
kati,basi weka kati kati whipped cream,ice cream au frosting.
Kama zimekua muonekano
wa kuungua,kata juu ipendezeshe kwa kuipamba juu au katikati weka layer ya ice cream-
nani hapendi cookies na cream?
Cake nzitoCake huwa ni delicate-ukichanganya kwa mdogo mdogo,Changanya
Pamoja mahitaji tu yachanganyike vizuri na
cake yako itakuwa nyepesi,na itapumua vizuri kwenye oven.
Kuchanganya sana
inasababisha kuganda,inaleta uzito usiotakikana.
Kama cake yako ni leaden,kata
kata vipande na loweka kwa syrups au shira nyepesi,whipped cream au liquer kuifanya kuwa
moisten.
Cake iliyonywea/iliyojirudi.Tunajua cake zina harufu nzuri,usifungue mlango mpaka iive
kabisa;punguza temperature ya jiko,itasababisha keki kunywea.
Badala yake ,tumia
oven thermometer na haraka chomeka kijiti au toothpick kati kuangalia kama
imewiva kwa ndani mpaka chini.Acha cake yako ipoe vizuri kuepusha mabadiliko ya
hali ya hewa.
Kwa bahati nzuri,keki iliyonywea au iliyorudi bado itakuletea
matokeo ya makofi kwa wageni wako.
Pie ya ukoko iliyoungua Kama pie yako inaonekana kuungua yaani imekua rangi ya brown
sana mapema tu,funika na tin foil au pie crust protector.
Kwa pie ambayo inatoka
jikoni kati imeiva vizuri lakini nchani au pembeni imeungua,yaani hapo kwangua ukoko au palipoungua.
Kama uzuri wa ncha unaweza kukwanguliwa, huna haja ya kupambia na
ladha za kuficha kuungua.Pie yako bado itaonekana nzuri na ladha nzuri kama
kawaida tu!
Runny FrostingMaji mengi inapelekea kuleta hali ya kutepeta.Changanya zaidi na
confectioners sukari -au cocoa powder kama ni chocolate-mpaka frosting iwe nzito.Iweke
kwa friji kama jikoni kwako kuna joto.
Kwa keki za layer,frost layer na uiweke
frijini mpaka hapo kabla ya kuifrost kwa upande wa nje.
Cake iliyopasuka juu au pie iliyotengeneza ukoko
Keki iliyopata ufa inamaanisha ukandaji wako wa unga/donge ilikua
mgumu sana.Kwa pie: Ongeza maji kiasi kwa unga au donge la pie yako au futa na brush kwa maji kabla ya kuweka
frijini au kuikunja.
Kata madonge zaidi kwa maumbo mbalimbali pembeni;itakuwa
rahisi kuucover ufa wowote kwa aina yoyote na mapambo.
Kwa cake:Changanya maji
kidogo kwa unga/donge uliyokuwa mgumu.
Cake mara nyingi huwa nzuri ikiwa frosting
au whipped cream kwa vyovyote,kwa hiyo,tengenezea au pipe na cement.
Cake au Cookies zilizopasuka Kulundika keki kwenye oven iliyopata moto sana husababisha
keki au cookies kuvunjuika au kupasuka.
Usiruhusu sufuria zako kushika au kuweka
hata kama inch moja upande na karibu sana na jiko.Wakati mikono mizuri inapasua kilichookwa
vizuri.Tumia ujanja!
Kata keki iliyopasuka au kata vipande pande alafu iwekee
layer ya matunda,au pudding,ice cream au whipped cream na iweke kwenye friji
ijiachie.
Mwishowe imewezekana,lakini desert tamu na ya uhakika.
Enjoy and Share!.
0 comments:
Post a Comment