Sukari tunazotumia siku hizi kwa
uchunguzi nilioufanya zina harufu fulani hivi ukiweka haswaa kwenye chai.Hivi
hamjagundua pia ina leta kichefuchefu,uchunguzi huu haukuishia kwangu, na wadau
kadhaa wamelisadikisha hiloo,kubwa lingine ni zina vitu vyeusi vyeusi sijui ni paking yake
au ni uchafu ila iko hivyo.
Wiki mbili zilopita nikafikiri
kutafuta njia ya badala ya sukari japokuwa hivi vyote huwa tunatumia nyumbani na
bado tuna endelea kula sukari,nimejaribu
nikaona meno yanafanya kazi vizuri na nguvu nzuri imenipatia mwilini.
Tuziangalie hizi aina tatu zenyewe
badala ya sukari.
Wewe
ungependa utumie ipi?
Tende ni
tamu ladha yake .Ina vitamin B6, vitamin A, potassium na calcium. Ni nzuri kuila badala ya
sukari,chukua fungu kiasi nenda nayo ofisini kwako kwenye dawati lako,ukiipata chai ya maziwa au
maziwa yenyewe au hata chai ya rangi au maji ya kunywa safi na salama kwa asubuhi.Tende inashibisha na inajenga
lishe nzuri katika mwili wako. Tembelea zaidi maajabu ya tende kujua faida lukuki zimo kulee…
Maple syrup
yenyewe hutengenezwa kwa kuchemshwa sap of maple trees
ikichanganywa na concentrated na sweet syrup. Ni tamu ladha yake ya sukari-tumia
hata kwenye maziwa ya mtindi kwa asubuhi na kwenye kahawa au chai ya jioni, au
asubuhi au muda wote unapotumia vinywaji vinavoongezewa utamu wa sukari,ukiwa
nyumbani hata ofisini kwako.
Ina kiasi kidogo cha calcium na zinc pia.
Asali ina
antibacterial na ni chanzo kikuu cha antioxidants.Unaweza tumia granola na maziwa mtindi,na kinywaji
kilicho na asali,ndimu,na tangawizi katika maji ya moto huwa kinachangamsha
mwili sana tu,na sana sana kipindi cha mchana na hata asubuhi kabla ya kunywa
chochote ila asubuhi ya mapema sana.
Asali ile iliokooza rangi sanaa huwa
ina antioxidant
kwa wingi .
Tumia asali nyingi ya asili ambayo
haijatengenezwa huwa ina lishe na antioxidants za kutosha.Tembelea asali ujionee faida za ukweli ndani ya blog hii..
SHARE KWA WINGI!
0 comments:
Post a Comment