SABABU ZA KUTABASAMU
Mara ngapi huwa unacheka kwa siku?Unacheka ukikutana na watu
wapya?Pindi unapokutana na rafiki zako?Ukiwa na wafanyakazi wenzako?
Uso wako
una mishipa 44 ambayo huruhusu kutenegeneza zaidi ya 5,000 aina tofauti tofauti
ya muonekano,nyingi zao ni kutabasamu.
Kutabasamu ni kuzuri kwako wewe mwenyewe, kwa afya
yako,na maisha ya kijamii kwa ujumla!
Kitendo rahisi cha kutabasamu(smiling)
ni hukufanya muonekano wakirafiki zaidi-hubadili maisha yako na maisha ya wengine waliokuzunguka.
Hizi ni sababu kutoa
kicheko mara zote zaidi:
1.Ina
boost immune system
Kutabasamu hubadili makemia ya mwili
wako.kutabasamu wana medical studies wamegundua kunapunguza ugonjwa wa moyo,hufanya
kuhema vizuri na kuupumzisha mwili,ambayo hujenga umadhubuti wa immune system.
2.
Itabadili hisia yako
Psychologists wamegundua kama
ukitabasamu kwa 60 dakika,haijalishi umedanganya au umejilazimisha hisia
hizo,hutoa serotonin ambayo inaufanya mwili wako ujisikie ni wenye furaha tena.
3.Hupunguza
blood pressure
Kama una tabasamu, endorphins huja
juu na blood pressure hushuka.Huweza kujua kama utapima presha yako kabla ya
kucheka na baada ya kucheka utagundua iko tofauti.
4.
Inaboresha hisia
Fikiri tena kusema Asante kwa
chocolates.Kutokea kwa British Dental Health Foundation,tabasamu yenye mapenzi
yaani ilotoka moyoni ile huweza kuwa sawa na kuzalisha hisia nzuri
inayofananishwa na kula 2,000 chocolate bars!
5.Hulainisha
moyo
Mara nyingi imeonekana tabasamu la
kupangwa hulainisha moyo yaani huondoa chuki na ghadhabu,na huwa ni tabasamu la
mvuto,la kutoa ishara ya uaminifu ulokuwa moyoni na upendo wa kusafiana nia.
6.
kukumbukwa
Yatoe meno meupe kama mng’ao wa
almasi,katika interview yako nyingine. Kama ni mwenye kutabasamu,ni
mara tatu kuwa unakumbukwa zaidi kuliko Yule ambaye anayejionyesha au mwenye
vitu vya asili.
7.
Ni njia ya mafanikio
Watu wengi wanaopata
promotion.Kutabasamu kwao wao ni kivutio chao cha asili.Zaidi watu hao ugunduzi
wa kisaikolojia umeonesha watu wenye kuvutia huwa zaidi ni wenye
mafanikio,intelligent,na ni marafiki sana.
8.
Hukufanya kuonekana mdogo( younger)
Kutabasamu ni asili ilo usoni mwa
mtu! Husukuma seli katika ngozi yako na kutoa mng’aro flani hivi.Hata hivyo ugunduzi
ulofanyika karibu 69% ya watu wamegundua kwamba wanawake huvutia zaidi kwa
muonekano pindi wanapotabasamu kuliko wanapojitia au kupakaa makeup.
9.
Maisha marefu
Pindi unapotabasamu,ni ngumu
kutokuwa mkweli wa hilo tabasamu.Na ukweli huo ndio unaoongeza siku zako za
kuishi. Researchers wa Columbia University wamegundua watu wenye furaha zaidi
or( happier) mara nyingi hupunguza hatari ya matatizo ya moyo.
10. Hupunguza stress
10. Hupunguza stress
Ni muhimu kwa afya yako
,pia,hushusha blood pressure,huongeza mmengenyo wa chakula,na kupangilia blood
sugar.Tambua kwamba tabasamu hufanya
kazi kipindi cha kazi ngumu ,pia! Mathalani uko kwa
kipindi kigumu au umebakiza dakika tano(5)
kuikamilisha hilo au jambo lako,tabasamu huweza leta maajabu!
A
quote to smile about
“A smile costs nothing, but creates
much. It enriches those who receive, without impoverishing those who give. It
happens in a flash and the memory of it sometimes lasts forever.” - Dale
Carnegie, How to Win Friends and Influence People.
0 comments:
Post a Comment