Apples ni msingi hautakuangusha. Kula apple,kunywa juice fresh ya apple,oka crisp, apple chips…utajisikia vizuri zaidi utapofikiri kuhusiana na urembo.Apple ni lina maajabu ya utamu,na lina faida lukuki-nyingine utakua hata ujazitegemea!
Leo nahisi tuwe pamoja katika faida
za kiafya za kula apple. Lakini la mwanzo kabisa,hizo ni picha za
apple huenda yana ladha tofauti tofauti.
Sasa kwa faida za afya!
Apples huweza …
Inaongeza endurance.
Apples ina antioxidant
inayoitwa quercetin,ambayo
huruhusu oxygen kupita kwenye mapafu kwa
urahisi. Kula kabla ya kazi na utaona jinsi inavofanya kazi katika endurance
yako!
Hung’arisha meno kuwa
meupe.
Apples ina malic acid,ambayo hutumika katika meno kuyafanya
yawe meupe.kwa huo uwezo wake pia wakuondoa madoa kwenye meno.Mra nyingine
ukila Apple,hakikisha
unalitafuna kwa kuzipata faida zaidi na hata sugua kabisa kwenye meno yako.
Boost immune system.
Apples ina vitamin nyingi na ziko
juu, ikiwemo vitamin
C – Hii ni maalum kwa kuboost immune system!
Satisfy cravings.
Apples asili yake ni tamu,kwahiyo
husaidia kutosheleza kwa mchana kwa badala yahamu ya cookies. Ina calories
kidogo na kwa ujumla ni haina mafuta ,utajisikia vizuri ukila, pia!
Hupambana na cancer.
Apples ina compounds inaitwa triterpenoids, ambayo huweza
kupambana na mashambulio ya cancer kama ya Ini,Matiti,na tumbo(colon).
Inakuza kumbukumbu.
Apples yanaaminika kwa kuongeza
uzalishaji acetylcholine
–neurotransmitter
– ina uwezo mkubwa wa kuongezaea kumbukumbu na kupunguza hatari ya Alzheimer’s.
0 comments:
Post a Comment