MAPELE YA NDEVU
Mapele ya ndevu hudharauliwa ,wakati mwingine huwa yanaleta
maumivu ambayo huwa ni mbaya yakiendelea kama hayatatambulika na kutibiwa
ipasavyo.Ni vizuri kuepuka na hiyo hali kwa kuchukua tahadhari ,kama kutotumia
wembe wa zamani au uliochakaa na kufanyia kazi matibabu wewe mwenyewe.Maji ya
uvguvugu ya chumvi husaidia kama mapele yataendelea.
Topical antibacterial
creams na lotions husaidia kupunguza
dalili za mapele hayo.Ila kwa kesi iliyokomaa ya mapele,dawa za antibiotics huwa
ni lazima kutibu shida hiyo vizuri iwezekanavyo.
Vinginevyo hujulikana kama barber’s
itch,mapele ya ndevu
hutokea pindi vinywelea katika ndevu zinapokuwa vimeathiriwa na
bacteria.Kwa kawaida,bacteria wanaosababisha hali hiyo huwa hawana uwezo wa
kuvunja au kupita katika viziwizi vya ngozi,lakini baada ya kunyoa ndevu na
kuvunja ile kizuizi,vinywelea vinaruhusu bacteria kuleta madhara katika follicles.
Kwa hali
hiyo,kwa upande wa kitaalam hujulikana sycosis barbae,hutokea ikiwa na rangi
nyekundu kabisa,na huwa mapele kabisa yanauma huanza kidogo,hufikia hata kuwa
kama jipu.
Njia nzuri ni kuepukana na hali hii
kwa pamoja ni kwa kufuata masharti ya kujizuia.
Kwanza,fuata mfumo mzuri wa kujitibu
wewe mwenyewe,osha uso na mikono mara kwa mara kuzuia maambukizi ya
bacteria.Usitumie wembe mchafu au usoruhusiwa ,na epuka kurudia kutumia disposable.
Hii inajulikana yaani maarufu:
kuepuka kushare vifaa kama kitana na mtu mwingine,kufanya hivyo huleta
maambukizi.Na kunyoa ndevu pindi uso una maji unajihisi ni vizuri zaidi ila
huleta kwa urahisi maambukizi ya bacteria,sababu ngozi huwa ni rahisi kwa bacteria
kupenya.
Kama unahisi una mapele ya
ndevu,inabidi uepukane na kunyoa,mara kwa mara,au uwe unafanya baada ya muda
mrefu,hamia kwa shaver za umeme.Shaver za umeme zina madhara kidogo.Kwa mpango
huo
Tea tree oil
huenda ikafaa.Tea tree oil hufanya kazi kama antiseptic na ni antibacterial.Tafuta
pia aftershave lotion
ambazo zina tea tree oil,na huenda ikawa ina faida
ukiitumia kupaka kila baada ya kunyoa ndevu,na hata kabla ya dalili za hayo mapele.
Kwa kesi nyingine ndogo,vijipu au
majipu meupe yale hujitengeneza kama mapele makubwa.hayo tumia chumvi
Iliyolowekwa kwenye maji ya uvuguvugu kwa dakika 15 mara mbili kwa siku husaidia
kutibu hali hiyo.Kama mapele hayajapoa au kupona au kuonesha dalili hata za
kupona baada ya siku kadhaa au yanazidi kuwa hali mbaya,unatakiwa umuone
daktari kwa ushauri .
Na wakati mwingine tumia topical
antibacterial cream,kama vioform au mupirocin
ambazo utaandikiwa .Kwa kesi kama
hizo na zaidi utahitajika kutumia dawa za oral
antibiotics .Mapele ya ndevu ,yaliyodharauliwa au
hayakutibiwa mapema ,huwa sugu yenye hali mbaya na husababisha mabaka au makovu.
Hali kama hiyo huweza sababisha
sukari diabetes
au autoimmune disorders, na huwa
hayaishi .
Pindi uonapo hali ya mapele ya
ndevu,ni ishara ya kutaka kuyaondoa.Kwa mpango huo yabidi ufanye jitihada ya
kuyatibu wewe mwenyewe na kuchukua tahadhari mapema ya kuepusha kuwa hatari
mbaya.
Jinsi ya kuondoa mapele ya ndevu nyumbani.
Lowesha kitambaa cha kujifutia
katika maji ya baridi.Kisha kamua maji kisha weka sehemu yenye mapele kwa
dakika 10
kuunguza kuvimba na wekundu.Kausha ngozi tena kwa kitambaa kikavu.
Kata kata strawberry 2
na kijiko cha kula kimoja (1) cha sour cream
ndani ya bakuli.Saga mchanganyiko huo ulainike vizuri waeza tumia blender.Pakaa
mchanganyiko huo kwenye sehemu yenye mapele usoni mwako na acha kwa dakika 10 hadi 15
kulainisha sehemu iloathirika ilosababishwa na mapele hayo.
Pangusa mchanganyiko huo na
kitambaa cha kujifutia.Kisha futa ngozi na kitambaa au taulo safi.Tembelea jinsi ya kuosha uso.
Lowesha kipande cha pamba ndani ya
kuoshea uso ya antiseptic.
Kwa taratibu pangusa au sugulia hiyo antiseptic
katika mapele kuyasafisha na kuzuia maambukizi ya chunusi.Tembelea jinsi ya kuondoa chunusi.Kisha futa na kitambaa au taulo kavu.
Siliba au pakaa hydrocortisone cream katika mapele ,mara mbili
kwa siku kwa siku unayonyoa ndevu,husaidia kuondoa maambukizi,wekundu,na
mabonde yanayotokea pindi unaponyoa au kushave.
TIPS:
- Yeyusha asprin katika maji na pakaa katika mapele baada ya kunyoa ndevu,huondoa maumivu na huunguza mapele yaani huyakausha.
- Tumia viwembe vya umeme kupunguza mapele ya wakati wa kunyoa.Kisha tumia vilainisha ngozi maalumu vya baada ya kunyoa .
·
Mara zote nyoa kwa kufuata muelekeo
wa ndevu unavokuwa kuepusha maambukizi.
·
Benzoyl peroxide cream,
0 comments:
Post a Comment