• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Wednesday, November 29, 2017

Kusafisha microwave

4:12 AM // by Kalma // No comments

Kusafisha microwave Mnato wa chakula kwenye microwave unaonekana vibaya,harufu sio nzuri,na hupunguza thamani ya microwave jikoni.Kwa bahati,microwave ni rahisi kusafisha ukijua. Vinegar         Glass inayofaa kwa microwave au bakuli yenye nusu maji changanya na 1 kijiko cha kula cha white vinegar.Tia ndani ya microwave. Washa kwa dakika 5.Utahitaji dakika chache kwa microwave zenye nguvu zaidi,wakati...

Tuesday, November 21, 2017

Jinsi ya kung’arisha tiles

2:36 AM // by Kalma // No comments

Jinsi ya kung’arisha tiles Achana na kufagia na kudeki kila siku vipi unaweza kung’arisha tiles zilizofubaa,tiles zisizo ng’aa tena?Usikate tamaa,kuna njia ya kurudisha mng’ao kwa tiles zako tena.Njia hizi tumejaribu na zikafaa na kuleta mng’ao kwa tiles. Vinegar na maji ya uvuguvugu Tuanze na hii lakini inafanya kazi vizuri sana.Hii njia ni common imezoeleka sana hata pindi usafishapo kila mara.Vinegar hung’arisha vizuri na huondoa madoa...

Sunday, November 19, 2017

Ondoa stress wakati wa kuhama

6:12 AM // by Kalma // 1 comment

Ondoa stress wakati wa kuhama  Kuhama ni wasiwasi ulojaa msongo wa mawazo (stressful). Ni kipindi cha hisia zaidi ambacho ni kigumu kukusanya au kupack kila kitu ndani ya nyumba ulipoishi. Na zaidi kuondoa maisha ya vitu bila kuvichanganya,ni rahisi kuelewa kuwa ni balaa.Pamoja na mipango midogo tu na muono wa mbali,ni ngumu kuhama bila ya stress.Hizi ni step rahisi ukizifuatilia zitakurahisishia kuhama kwako Jipe muda wa kutosha Kuhama...

Thursday, May 25, 2017

8 Rahisi za kuosha glass

12:55 AM // by Kalma // No comments

8 Rahisi za kuosha glass Ni haraka na rahisi kuosha glass ambazo zinatoa harufu ya kunuka kama yai viza au zimapata ukungu mweupe ndani.Baada ya kuosha glaas,zinapata ukungu mweupe huonekana kama mawingu au hazijatakata.Kusafisha glass(za dongo au steel)hizi tips za kusafisha kuondoa uchafu huo na kuleta mng’ao . Tips za kusafisha glass: Loweka glass kwenye maji moto kabla ya kuziosha kwanza.hii husaidia kuondoa harufu mbaya na kuondoa...

Saturday, May 20, 2017

Njia ya kusafisha Lampshade

12:24 AM // by Kalma // No comments

Njia ya kusafisha Lampshade  Nikiwa mkweli sipendi kusafisha vitu vya flani hivi sijui vinabore yaani(tedious things) kama mimea,vitu vya mapambo,na lampshades lakini mwisho wa siku ni vizuri kujua jinsi ya kuvisafisha,hata kama hausafishi mara kwa mara, kwasababu hivi vitu vinakusanya mavumbi na uchafu. Njoo tuwe pamoja tujifunze jinsi ya kusafisha lampshade. Mahitaji:  Lint roller  Kitambaa cha Microfiber  Maji Cha...