• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Thursday, November 6, 2014

4:52 AM // by Kalma // No comments

Kuimarisha afya kwa wazee(watu mzima).  Kula vyakula tofauti kutokea makundi yote ya chakula yatasaidia kukupatia lishe na afya katika mwili wako inayotakiwa kwa umri.Ulaji wa afya huwa ni kwa mipango ya matunda,mboga mboga,nafaka nzima na au low-fat au fat-free dairy; ikiwemo nyama,poultry,samaki,maharage,mayai na jamii ya karanga; na vyakula vilokuwa havina mafuta mengi,trans fats,cholesterol,chumvi (sodium) na sukari ya kuongezewa yaani...

Wednesday, November 5, 2014

Olive Oil kuondoa Stretch Marks

6:41 AM // by Kalma // No comments

Stretch marks ni kitu ambacho hakipendezi kuwa nacho katika ngozi yako.Kwa bahati mbaya,tunaweza epukana na hali hii mbaya ya marks kwa muda,na sana pale unapo nenepa au unapopungua uzito.Kipindi cha ujauzito,wanawake wengi wanapata hizo marks hata bila ya kutumia aina za cream tofauti tofauti.La zaidi,hizi marks zinakera na haziondoki haraka.Kama unatafuta ufumbuzi kwa hilo la kuondoa hizo stretch marks,Olive Oil huenda ikawa chaguo zuri kwako. Angalizo: Olive...

Tuesday, November 4, 2014

FAIDA ZA HILIKI

1:09 AM // by Kalma // No comments

HILIKI Hiliki ni asili ya ukijani katika misitu huko India.Kiungo hiki hutumika sana katika misosi India,pia hutengenezwa kama dawa katika Ayurvedic kama tiba ya ulcers ya mdomo,tatizo la uyeyushwaji chakula,na uchovu.Baadhi ya faida za kiafya za hiliki ni kali lakini tamu,uchachu pia, kwa sasa inachunguzwa kisomi zaidi.Ni vizuri kutumia hiliki katika vyakula vyetu sio kwa sababu ya ladha peke yake ,lakini faida za kiafya ndo kubwa la kuliangalia...

Tuesday, March 18, 2014

VITU 4, NJIA 3

6:58 AM // by Kalma // No comments

VITU 4, NJIA 3 Utakuwa ni mdau mkuu mmoja wapo wa hii blog,kwa vyovyote umejifunza mengi kuhusiana na matumizi na faida ya vyakula tofauti tofauti japo kwa uchache wake.Kipindi hiki badala ya kulist au kushare kimatumizi au faida ya aina moja ya chakula,nilifikiri iwe tofauti kwa topic hii kidogo:  Vitu 4, njia tatu.  Oats: kwa Maana ya kuila tu,oats  ina fiber nyingi ya kutosha,protein,na antioxidants.Iko vizuri katika...

Friday, February 21, 2014

FAIDA 7 YA CHAI YA KIJANI.

2:28 AM // by Kalma // 1 comment

CHAI YA KIJANI Kikombe cha chai ya kijani ni kizuri kwa kuianza siku yako. "Ni kitu chenye afya naweza fikiria kukinywa," by Christopher Ochner, PhD. He is a research scientist in nutrition at the Icahn School of Medicine at Mount Sinai. "Green tea is beyond a super food." Kwa miaka 20 ilopita sasa,maelfu ya wasomi walionyesha faida za chai ya kijani. Seli zenye afya Kwanini chai ya kijani nzuri kwako?Ni kwasababu ya catechin iliyokuwamo,"...

Tuesday, February 4, 2014

KUONDOA WEUSI CHINI YA MACHO.

10:31 AM // by Kalma // No comments

 Kulala na kupumzika ni muhimu kwa kuwa na afya nzuri na muonekano bomba.Kuanzia kwenye kuboresha akili,kuongeza ufanyaji kazi mzuri wa moyo,kuongeza ubunifu katika ufanyaji wako wa kazi,faida zake huwa hazina mwisho.Lakini sio rahisi kuupata usingizi wa kutosha kwa kila usiku-na wakati mwingine huonesha usoni chini ya macho huitwa(miwani)na puffy eyes.Japo kuwa tiba yake ni kutibu chanzo cha hilo tatizo ambao ni usingizi na kupumzika vya...