Unataka lishe ya ukwee kipindi cha
ujauzito?Hakikisha hivi aina sita ya vyakula viko katika mlo wako.
Unajua unatakiwa
kila mara ule vizuri,lakini labda –labda –ufanye kujidanganya kidogo.Latte na
dounat kwa asubuhi kama kifungua kinywa?wote tunakula hivo!
Kwa sasa
unategemea au utajifungua,unajaribu kufikiri kwa umakini zaidi kwa kile ambacho unakula wewe
mwenyewe kwa sababu chakula unachokula ni chanzo kikuu cha lishe kwa kumkuza
mtoto wako.
Kipindi cha
ujauzito,kwa mfano ,unatakiwa uwe na Protini na calcium kwa kukuza tissue na
mifupa ya mtoto wako.Pia utahitajika ziada ya folic acid kwa kulinda upungufu
wa neural tube kipindi cha kujifungua,na vile vile madini ya chuma mengi
kusaidia seli nyekundu kubeba oxygen kupeleka kwa mtoto wako.
Anza na kula milo
mizuri ya afya pindi cha ujauzito.
Nafaka
nzima
Ni tajiri wa lishe, nafaka nzima na cereals ni hazina ya madini pamoja na folic acid na madini chuma na upate fiber nyingi kushinda
mkate wa ngano na wali.Fanyia kazi,hakikisha unapata nafaka nzima kwa siku yako:oatmeal kwa
kifungua kinywa yaani chai ya asubuhi,sandwich kwa nafaka nzima mkate kwa
mchana yaani lunch,na ngano utaipata kwenye pasta au brown rice kwa chakula cha
usiku kwa kizungu dinner.
Maharage
Weka na maharage meusi,meupe,pinto
,lentils,black-eyed peas,na ini,garbanzo,au maharage ya soya katika mlo
wako.Jaribu hizo na pilipili na supu ,saladi,na pasta.Sio tu ina Protein na
fiber,pia ni chanzo kizuri cha lishe nzuri,kama vile madini ya
chuma,folate,calcium,na zinc.
Salmon
Omega-3 fatty acids
ni nzuri kwa kujenga akili na macho ya mtoto wako,na salmon ni chanzo kizuri
vile vile cha lishe.Ina Protein na Vitamins B za kutosha.Salmon pia wana
mercury kidogo ukilinganisha na samaki wengine.Jaribu ya kubanika,broiled,au
weka na salad juu.Iko salama tu na unaweza kula mpaka ounces ya 12 tu ya samaki wenye mercury kidogo,kama vile
salmon,huweza kula kwa wiki mara moja.
Mayai
Mayai ni hodari
na chanzo kizuri cha protein ambayo hupatikana amino acid inayotakiwa kwako na
kwa mtoto pia.Inayo vitamins nyingi sana na madini ya kutosha ,ikiwemo
Choline,ambayo ni nzuri kwa kukuza akili ya mtoto.Japokuwa hakikisha hauli au
usile yalikuwa hayajaivaa vizuri au mabichi .
Berries
Blueberries, raspberries, na
blackberries ni snacks yenye ladha tamu na nzuri na haswa kama utaipata kwenye
cake na juu ya cereals.Berries ina vitamin C,potassium,folate na fiber.
Maziwa
ya mtindi yenye mafuta kidogo
Kikombe kimoja cha maziwa ya mtindi
ambayo sio yaliyoongezewa ladha,maziwa ya mtindi yenye mafuta kidogo yana
calcium nyingi kuliko maziwa ya kawaida,na yana protein nyingi pia,na huwa
hayajaongezewa sukari ya ladha yaani flavored.Tumia maziwa hayo na matunda au
crunchy,au nafaka nzima,na cereal.
0 comments:
Post a Comment