USINGIZI
Ni saa kumi alfajiri.Macho yako
mazito kwa muda wa wiki kadhaa.Hutaki lingine zaidi ya tamaa ya kujiweka katika
amani ,usingizi wa ndoto nzuri,na huenda kawa umejilaza kitandani,kuamka
kumekua kuzito
ENJOY AND SHARE !
.Haijalishi umajitahidi kwa kiasi gani ,hupati njia ya kulitatua
hilo,fikra zinakwenda mbali na za muda
wa masekunde sasa.
Kutolala ni jambo la usumbufu na
kero kiukweli.Kwa sote huenda lishawahi kututokea japo mara moja katika maisha
yetu au sana tuu.Na kwa bahati mbaya,baadhi yetu, huwa ni mara kwa mara au ni
kawaida yao,na hatujali kulifikiri hili.Kulala ni mfumo wa kujenga afya zetu na
kuwa katika hali nzuri.Ni muhimu kupata nafasi ya kulala na kumaliza usingizi,
kwa maana kwamba miili yetu na akili zetu ziweze kufanya kazi kwa ufanisi
mzuri.
Kama una shida ya usingizi usiku-au
hata kama hupati kabisa usingizi-hizi njia rahisi,za asili zinaweza faa kuleta
usingizi kwa haraka na kuamka kwa mwenye kujisikia kumpuzika na fresh,na mwenye
furaha,na tayari kwa wajibu wa siku yako!
Tengeneza mazingira ya kwa ajili ya kulala.
Kutokea kwa wataalamu wa usingizi,mazingira mazuri ya
kulala ni yale meusi yaani giza,matulivu,na comfortable,na yamepoa yaani cool.Anza
kwa kukiandaa kitanda kizuri kwako.Watu wengine hupendelea pa kulala pawe laini
na mneneso,wengine wanapendelea pagumu.Kama umelalia godoro gumu na ukaamka
ukahisi uchovu,unahitaji godoro laini zaidi.Tumia godoro ulipendalo wewe,mi
huwa napendelea mito mingi huwa nahisi ndo usingizi mnono hapo.Kama mwili wako
utajisikia vizuri ukiwa katika godoro basi ni rahisi kulala vizuri zaidi.Kama
unapolala kuna fujo za unaelala nae au kelele za nje,wekeza zile za masikioni
au pamba kupunguza kelele.Zima vifaa vya umeme kabla hujaenda kulala kupunguza
usumbufu tokea vimuli au vimuwako vya mwanga vinaweza sumbua usingizi wako.
Tumia aromatherapy
Aromatherapy ni kifaa chenye
nguvu.Ni hisia za ajabu na tofauti na ni emotions kwa muonekano tofauti
kabisa.Baadae unaweza weka au dondoshea mafuta ya lavender katika nguo,kisha
uweke pembeni ya mto.Harufu yake husaidia kuleta usingizi.Chamomile na mlangi
langi nazo ni huongezea kupumzika katika usingizi.
Oga vizuri(relaxing bath)
Tumia hata muda wa saa mbili kuoga kabla ya kwenda kulala
ukipumzisha mishipa na misuli na husaidia upoe au kupumzisha.Ongezea mafuta ya
asili katika maji ya kuogea kusaidia kuzidisha kutoa uchovu na andaa akili yako
kwa kulala tu.Muda halisi wa kuoga na kulala huwa tofauti kwa kila mtu,kwahiyo
usikilizie mwili wako na unahisi unaweza kuchukua muda gani kupata usingizi.La
msingi kuwa makini kuoga na kulala papo hapo,Kufanya hivyo huenda Kukakimbiza
usingizi kwa saa au hata saa mbili,na ukajikuta uko macho.
Kunywa maziwa moto na asali
Maziwa moto husaidia kuleta usingizi,wakati
asali husaidia mwili wako kupumzika na kujijenga tena,katika vitu vingine,pindi
unapolala.Japo wana sayansi hawana uhakika kama maziwa yanaathari katika
usingizi. (studies of the enzyme tryptophan in milk on sleep vary), maziwa moto
na asali kwamba yalitumika kuongezea au kuleta usingizi karne kwa karne.
Jaribu mbinu za kujipumzisha.
Japokuwa,kutolala ni matokeo ya
akili zaidi ambayo haijakubali kulala au kupumzika baada ya shughuli nyingi za
siku.Njia rahisi ya kuikubalisha akili yako ni kwa kutumia mbinu za kupumzika
kama kuangalia kwa kushangaa,kuhema kwa kushusha pumzi,na kuipa kazi akili.Hapo
utapata nafasi ya kuituliza akili,utapumzika kwa usiku kucha kwa amani,zitakuja
ndoto,na usingizi mnono au mzuri wa fofofo!
0 comments:
Post a Comment