• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Monday, January 13, 2014

VYAKULA 6 BORA KWA MUONEKANO WA UJANA

6:14 AM // by Kalma // No comments

Kuna aina nyingi za products za kutengenezwa za kutuonyeshea muonekano wa ujana au udogo,kutokea kwenya ngozi mpaka kwenye nywele zetu.Lakini kijana au muonekano wa kibaby ,ni kama vitu vingine tu,vinakuja humu humu.
Njia moja rahisi na inafanya kazi kuwa na afya na muonekano wa ujana ni kuwa makini na unachokiweka mwilini mwako, na kiwe chenye faida tokea ya vitu vya asili ambavyo vinapatikana katika aina ya vyakula.Leo tuangalie hivi vyakula 6 ambavyo vinaweza kuonyesha muonekano wa ujana kama itakuwa ni 
mfumo wa diet au mlo wako wa kila siku—soma ujionee mwenyewe!
1. Majani ya kijani
Majani ya kijani kama kale na spinach huwa zina lutein, ambayo inazuia ngozi yako kuharibika na kutokea mikunjo ya uzee.Hizi za kijani ni tajiri wa kuu wa Vitamins C,na chanzo kikubwa cha kujengwa kwa collagen.Collagen ni element ya ukweli ya kuonyesha ujana kwa ngozi yako ambayo huanza kuchakaa miaka inapokuwa mikubwa au mingi yaani kuendea uzee.Pendelea kula kijani yaani mboga za kijani kama dose katika mlo wako itasaidia kuweka ngozi yako nyororo na ya kijana. 



 2. Nyanya
Nyanya ina lycopene,ina antioxidant yenye nguvu ambayo inalinda ngozi yako na kuharibika kwa jua.Lycopene inafanya kazi ndani,hupunguza wekundu wa kwenye ngozi na kuharibika kwa UV kuweka ngozi yako kuwa yenye afya.Unaweza tumia ,isage nyanya au tungule na lozi au almonds kutengeneza musk ya uso!na pia unaweza kutumia kuila. 




 3. Karoti
Karoti ina beta-carotene,ambayo ikiwa ingested hubadilika kuwa Vitamin A, ambayo inastua ukuaji wa  seli za ngozi na kujenga collagen. Beta-carotene nayo ina nguvu ya antioxidants ambayo inalinda ngozi kuharibika na free radicals.Kula karoti husafisha meno yako kuwa meupe,na kuongezea muonekano wa ujana—huwa inachukua nafasi ya mswaki wa asili ambao utasafisha meno yako.Tembelea juisiya karoti na tangawizi!


 
4. Matunda ya citrus
Matunda ya citrus yanajulikana kwa wingi wa level ya Vitamin C,ambayo ni muhimu katika kujenga Collagen.Matunda ya citrus pia ni tajiri wa bioflavonoids ambayo hulinda ngozi kwa miale ya jua.Kuna njia nyingi unaweza ukatumia haya matunda  pia ukiachilia kuyatumia kwa kula tu.Ambayo hung’arisha ngozi yako na kuifanya iwe ina muonekano wa kuvutia!



5. Blueberries
Blueberries zina antioxidants nyingi katika matunda ya berries yote,husaidia kulinda ngozi na free radicals.Uwezo mkubwa wa anti-inflamatory ambayo husaidia kuondoa wekundu wa kwenye ngozi na mikunjo ya uzee,na pia huzuia effects za aging.Blueberries ina anthocyanin ya kutosha ambayo huipa rangi ya weusi wa hayo matunda –ambayo hupunguza uslow wa akili ambao husababishwa na aging.Unaweza kutumia juisi yake au ukala matunda yenyewe!
 



   6. Viazi vitamu
Last but certainly not least,viazi vitamu ni chakula kingine chenye beta-carotene nyingi,ambayo inafanya kazi ya kubalnce ngozi yako PH na kuondoa ukavu wa ngozi,hupelekea ngozi kuwa na afya,nyororo pia.Viazi vitamu vya zambarau sa vile vina tani za antioxidants na anti-inflamatory pia.Tengeneza chips za viazi vitamu!


 



0 comments:

Post a Comment