• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Saturday, April 29, 2017

Jikoni

5:32 AM // by Kalma // No comments

Jikoni   Vyumba vyote nyumbani kwangu,jikoni kunasafishwa  mara kwa mara na umakini zaidi,ni sehemu ngumu kusafisha kwa sababu ina sehemu nyingi,kwasababu  ndio panapotokea chakula chetu na kinyume chake,kama hapakutakata pataleta madhara kwa afya. Ni sehemu ambayo vijidudu hatarishi huzalishwa hii ndio hatari kubwa.Nitakua pamoja kwa usafi wa jikoni kwa kutumia madawa asilia tafadhali tuwe pamoja na mimi, dawa,utupie zako...

Saturday, April 15, 2017

Usafi asilia wa chooni

2:23 AM // by Kalma // No comments

Usafi asilia wa chooni  Dondoo Kingine zaidi ya jiko ni ,usafi wa chooni huchukua muda mwingi na kazi sio ndogo sababu ina sehemu nyingi tofauti tofauti,ni asili yake,ni sehemu inayotaka sana usafi sababu kunatumika mara kwa mara.Kama uko kama mimi ,lazma na utapenda kazi ya kusafisha choo.Kwa bahati nzuri mpangilio na madawa asilia yatakurahisishia kufanya haraka na vizuri chooni mwako. kioo  Ni kama dirisha,unaweza kusafisha kwa...

Thursday, April 13, 2017

Kusafisha dirisha la aluminium

6:30 AM // by Kalma // 1 comment

Kusafisha dirisha la aluminium Kama nyumba yako ina vioo vya aluminium hua ni sababu ya kubeba vumbi na hewa chafu kama havisafishwi ipasavyo.Kwa bahati nzuri,kwa vifaa vichache,vinaweza takata na kunga’aa kwa muda mfupi. Futa vumbi kwenye fremu ya madirisha Kabla kusafisha fremu za dirisha,unachotakiwa kufuta vumbi eneo zote kwenye reli za dirisha ,nyavu na vioo vya dirisha zenyewe.Tumia kitambaa cha vumbi,au fagio dogo la manyoa la kuondoa vumbi.Tumia...

Wednesday, April 12, 2017

Kupanga dressing table

5:27 AM // by Kalma // No comments

Kupanga dressing table Dressing table inavurugika sana kwa sababu ni mahala pakuhifadhia vitu vidogo dogo vingi,kama vipodozi,dawa,vipambio,urembo wa dhahabu,silver n.k.Hata hivyo,dressing table bado inatakiwa iwe safi mara zote na imepangika vizuri ili iwe rahisi kupata vitu pindi utumiapo Tips: Toa au tupa vipodozi vyote visivyotumika. Hii husababisha dressing table kuwa imejaa na vurugu.Unafikiri kuwa manukato au perfumes,lotions,na vichupa...

Wednesday, April 5, 2017

Faida 5 za pazia chumbani

4:37 AM // by Kalma // No comments

MAPAZIA  Pazia chumbani kwako huongeza mvuto kwa apartment.Unaweza kushangazwa labda ni upotevu wa muda na hela kuweka pazia chumbani kwako,usiache kuangalia faida zinazopatikana,usikose nafasi adhiim ya kuwa na pazia chumbani kwako kwa mvuto na muonekano wa kupendeza. Hizi ni faida za pazia chumbani: 1. LINEN HUDHIBITI JOTO Pazia aina ya linen hufaa kwa chumba chochote nyumbani kwako,lakini zaidi ni chumbani cha kulala(bedroom).Pazai...

Kusafisha Oven haijawahi kusafishwa(na ukafanikiwa)

4:07 AM // by Kalma // No comments

Kusafisha Oven haijawahi kusafishwa(na ukafanikiwa) Hii iko serious hivi muda huu 10:30 usiku oven lako limerowekwa na baking soda,racks za oven zimelowekwa kwa bathtub,birika la chai (buli) linatokota maji moto kwa kusafishia juu ya oven,na mumeo kapiga magoti hahaha…nimecheka apo!anasafisha sakafu kwa sponji kwa sababu unagundua muda umeenda na huna dekio au tambara la usafi (mop).(kiukweli ningemwambia aache!) Tunaita  usafi...