4 VIONJO VYA ASILI
Usafi halisi wa nyumba sio mgumu sana kama kusafisha kwa
madawa ya asili.Huongeza hewa nzuri safi na ya asili ndani,ni salama zaidi,haswa
kwa watoto.
Tupendelee kutumia dawa za asili kwa nyumba zetu katika
usafi,huondoa wasiwasi wa kuhisi magonjwa kwa watoto katika michezo yao,ni
rahisi, furahia kwamba kikubwa kwa madawa ya asili watoto kuanza kujifunza
usafi mapema .Tumegundua kuanzia miaka 2-4 hua ni kipindi kizuri kumzowesha
mtoto kusafisha mara kwa mara,tena watoto hupenda kusaidia kazi. Vionjo asilia
Hivi vichache gharama nafuu na rahisi kutumia:
Tile Grout Cleaner
Changanya maji na baking soda kupata uji
sio mzito na sio mwepesi.Weka kwenye grout acha kwa muda,sugua na mswaki,kisha
pangusa na sponji au kitambaa safi.
Vifaa vya kupikia
haswa majiko aina zote–tumia chumvi ya mawe au (sea salt) changanya na
maji limao au ndimu sugua.Jaribu uji wa
baking soda na maji.
Fabric Softener
Tumia white vinegar ambayo haijachanganywa na
chocote,nyunyizia ndani ya choo na juu ya choo,sugua kisha suuza.
0 comments:
Post a Comment