• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Sunday, November 17, 2013

LUNCH AT MANAL .

10:32 AM // by Kalma // 1 comment

Hayawi hayawi hatimaye yamekua.Aso na mwana aeleke jiwe!.
    Ndani ya Manal mida ya mchana hivi,wasiwasi mkubwa wa wingu lilotanda mawinguni kuashiria haina muda mrefu kunyesha .Bado haikuwa kikwazo kwa wana Manal kushindwa kulifikia hili,la kufanikisha sherehe ya kula pamoja ya kumpongeza mteja wao alotunikiwa shahada yake siku hiyo ya tarehe 16/11/2013.
 Mnamo saa nne majira ya asubuhi baada ya kukata tamaa na ubusy wa kila mpishi kuwa na oda kumshinda mwenziwe na sehemu zote kuonekana kulishakodiwa rasmi kwa ajili ya kusherehekea baada ya matukio ya graduation.
  Mteja wetu huyu juu na kuchelewa kwake kutoa oda ya nafasi hapa manal,Manal haikumkatisha tamaa ndani ya saa moja ilitimiza hayo utayojionea mwenyewe bila chenga.

   Wageni kuchukua nafasi zao hapa Manal .Huku maandalizi ya chakula yakiendelea.





















 wageni na jamaa wakiendelea kujisevia chakula.










 juisi ya mchanganyiko wa choyaa hiyooo....















 wasiliana nasi kwa sherehe yeyote,karibu sana Manal na tutakufikia ulipo.

1 comment:

  1. jamani sooo nice wifi yangu kipenzi...Allah akutilie wepesi katika kazi yako na aifanye mikono yako yenye Afya ya kushughulika hasaaaa....ameen

    ReplyDelete