MAJABU YA TENDE
Tende huwa na utamu wa tunda. Tende ni tunda .Asili yake huijulikani haswaa tokana na hukuzwa kwa muda mrefu.Kwa isemekanavyo ilitokea ardhi ya Iraq.
Tende ina Calories 20-70 na hutegemeana na size na aina ya hiyo tende.
Tende chakula kikuu kwa kule Middle East na Indus Valley kwa miaka mingi ya maelfu mpaka sasa.
Egypt hutumia tende kutengenezea wine,na kula kipindi cha mavuno.Ushahidi upo tende huvunwa Eastern Arabia
6000 zama hizo BCE. na India zaman Mehrgarh bali sasa huvunwa kwa wingi sana Pakistani.
Wafanyabiashara walisambaza tende Southwest ya Asia,Northern Afrika, Spain na Italy.Tende ilijulikana Mexico na California kutokea kwa Sparniards mnamo mwaka 1765.
Mvuna tende alijulikana Judean date palm aliyemiliki kwa muda mrefu kwa kuishi na mbegu ya Orthodox seed,na alifanikiwa kwa kuongezea kuihifadhi miaka ipatayo 2000.
Hii mbegu ilionekana ina faida tokea zamani, na sana sana muda wake mrefu kuihifadhi kwake bila kuharibika.
Na muda wake wa kuihifadhi bado haijajulikana rasmi ni kiasi gani cha muda mpaka leo.
Tende ina shape ya Ovali-Cylindrical,ikiiva huwa rangi nyekundu ya mng'ao kuendea njano bado hutegemeana na aina.
Ina mbegu moja. Tende ziko aina tatu Soft( eg:'Bahree',Halawy',Khadrawy',Medjool',), zilokauka kidogo( eg:'Dayri','Deglet Noor ',zahdi,),na kavu(eg:'Thoory').
Aina Zote hizo hutegemeana na Glucose,Fructose na Sucrose iliyomo.
Tende ni dioecious inatenganisha mmea kike na mmea kiume.Huota tokea kwenye mbegu,ila 50% huwa ni kike jamii ya matunda yanayokua,mbegu yake ni ndogo halafu dhaifu quality yake ukiiona na huwezi amini kama itatoa tunda ajabu tende.
Uchavushwaji yake ni ya upepo,kwenye asili ya Oasis Horticulture sema wafanyabiashara wa kisasa huchavusha manually.
Tende huiva kwa awamu nne:hujulikana duniani kwa jina la kiarabu Kimri(unripe),Khlal( full size crunchy),Rutab(ripe and soft),Tamr ( ripe ,sun- dried).
Tende ni zao la asili Iraq,Arabia na North Afrtika west kuelekea Morocco.
Tende imetajwa kwenye Qur-an mara 20.kwa mila za kiislam tende na mtindi au maziwa ni chakula cha kufungua Iftaar baada ya kuzama kwa jua pindi Ramadhan.
Tende haswa aina ya Medjool na Deglet Noor huvunwa America huko Sourthern California,Arizona na Southern Florida,U.S, Sonora na Baja California Mexico huko.
Tende huchukua miaka 4-8 kuoteshwa matunda, na kuzalisha mazao kwa biashara kati ya miaka 7-10.Tende zilokomaa huweza kuzalishwa 80-120 kgms(176-264lb) kwa kuvunwa kwa kipindi,japo matunda yote hayaivi kwa muda mmoja,huvunwa mara kwa mara zitakapokomaa,ili kupata matunda mazuri kwa ajili ya soko namaanisha kuuzwa.
Wanaoongoza kwa kutengeneza tende 2011 ni Egypt,Saudi Arabia,Iran,UAE,Algeria na wengine.
Tende hutumika chakula kikuu kwa iliokauka au laini kwa kuliwa mkononi,au huwekwa na almond,walnut, candied Orange,Lemon peel,Tahini,Marzipan,na cream cheese.
Pitted aina hii ya tende hujulikana kama tende jiwe,ile ilokauka inang'ara na ukiweka glucose syrup ikatumika kama Snack food.
Hutumika kwa vyakula vya sukari na savory dishes pia.
Tajines Morocco huwa Pudding,Ka'ak aina ya cookies za kiarabu na huliwa kama kitindamlo.
Date nut bread ni aina ya keki maarufu sana U.S na huliwa sana sana kipindi cha holidays.Tende hutengenezwa kwenye shape ya cubes,Paste huitwa "Ajwa" hii hupakaliwa tende au asali, Libya huitwa "Dibs", au "rub".
Unga wa tende hutengenezea vinegar au alcohol, vinegar iliotengenezewa kutumia tende ni huzalishwa kiasili na kimila zaidi na watu wa Middle East.
Kuna chocolate inawekwa tende na kuna juice ya tende pia.hutumika sana nchi za kiislam kama non-alcoholic version.
Tende huweza kuwa dehydrated ikichanganywa na nafaka na huwa yenye afya nzuri kwa watumiaji.
Tende zilokauka wanalishwa ngamia,farasi na mbwa maeneo ya jangwa la Sahara.
Kama Northern Nigeria,tende na pilipili huchanganywa kwenye bia na huonekana haina sumu ya kilevi sana.
Southeast Spain wao huchanganya tende na almond na huseviwa kama Bacon ilokaangwa.
Tende hutumika kutengenezea Jallab(jelebi).
Ina virutubisho vingi na ni mlo mzuri wa kujenga afya bora na imara hata kwa watoto, ina Pottassium.
Sukari iliopo kwenye tende Ziloiva ni 80%,kinachobakia ni Protein,Copper,Bacon,Cobalt,Flourine,Manganese, Magnesium na Selenium.
Hupatikana Caffeic acid glycoside 3-0 Caffeoylshikimic acid na enzymic,browning zote hizo kwenye tende.
Pakistani kuna Syrup hutengenezwa kwa tende iloiva, hutumika kama ngozi ya kuzuia kuvuja(leaking) kwa vitu mbali mbali.
Oman hutumia mti wa tende kwa kutengenezea kamba, vikapu, na mizinga ya nyuki,na mbao za boti za kuvulia samaki.
Mbegu ya tende hutumika kama chakula cha wanyama.Mafuta ya tende hutumika kutengenezea sabuni na marembo.
Mbegu ya tende ina Lauric acid 0.56-5.4%.Hutumika kama chanzo cha Oxalic acid.Mbegu hii hii huchomwa na kutumika kama mkaa na kutengenezea vidani vya shingoni.
Maharage ya kahawa (coffee beans)hupatikana kwa kuzika,na ni addictive kahawa yake hutengenezwa kwa mbegu za tende.
Matawi ya mtende hutumika kama fagio za chelewa au njukuti.
Mti wake hutumika kama mbao,kujengea daraja na mti hutumika kutengenezea fuel.
JUISI YA TENDE.
Robo kilo ya tende .Nusu lita ya maziwa fresh.Iliki kiasi zilosagwa . Toa mbegu za tende zilizopo ndani,kisha weka tende zako kwenye blender tia maziwa tayari yalochemshwa na yenye ubaridi wa frijini,weka iliki,kisha saga mpaka ilainike .Ichuje,tayari kwa kinywaji.
Haihitaji sukari ni tamu ladha yake na ina antioxidants .Ni nzuri kwa mama anaenyonyesha kunywa au kula tende ni yenye faida za afya nyingi kwa mtoto mchanga na familia yako. Ni chakula kinachokaa muda mrefu tumboni na chenye kushibisha vizuri. Tunda pekee lenye ladha pekee ya ajabu iso mfano na tunda lolote.
0 comments:
Post a Comment