• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Wednesday, November 6, 2013

TUNDA TANGO.

12:26 AM // by Kalma // No comments

TUNDA TANGO
Ni zao linalolimwa na kuliwa na familia nyingi.ni creeping vine linakua na cylindrical fruit.Huliwa likiiva au kukomaa.yako aina tatu, haya na yote yanalimwa na huliwa .
          Asili yake Sourthern  Asia,ila kwa sasa hukua kwa mabara yote duniani kwa wingi sana tu.Aina zote za tango huuzwa sokoni.

Tango huoteshwa kwa mzizi ndani ya ardhi na hukua kwa kutambaa na sio mti.Ina majani majani makubwa kuanzia chini kuzunguka tunda lote.Ina shepu ya  cylindrical,huwa kubwa kwa cm 60.Ina vitunda ndani au mbegu ndogo ndogo viloshikana na ngozi ya tunda.
       Tango ni tunda la ziada(accesssories).Linataka kufanana na nyanya na squash kimtazamo,huliwa kama mboga .Lina maji zaidi ya 90%.
  Tango halina pollination katika kuota kwake,ni tunda sio la mbegu ni Parthenocarpic hutoa mfano wa mbegu lakini bila kuchavushwa.
       Uchavushaji(pollination) katika mazao kama haya kunaharibu quality ya tunda.
U.S mazao kama haya huoteshwa kwenye "Greenhouse"na huwa hakuna nyuki.Europe wanalima nje ya nyumba kwa mikoa ya baadhi ya nchini humo, na hakuna nyuki kadhalika.
     Aina nyingine za matango huwa ni mbegu huitaji uchavushaji,lakini nyuki hutengeneza mizinga yao kwa mwaka mara moja tu,kabla maua hayajatokeza huwa kama mfano wa uchavushaji.

China wanaongoza kwa 60% kuzalisha matango kwa mwaka 2005.Wakifuatia Uturuki,Urusi,Iran,na U.S.
    Mnamo 2010 bado China ilikuwa ikiongoza wakifuatia Iran,Uturuki kisha Urusi n.k.
Tango asili yake ni Nepal,huko waligundua aina nyingi tofauti za tango tokea Cucucmix hystrix.Lililimwa miaka 3000 iliopita na kupelekwa sehemu za Europe,Ugiriki na Romans.Rekodi ya tango ilionekana Ufaransa karne ya tisa(9). England karne ya kumi na nne (14)na ni North America karne ya kumi na sita(16).

           Aina kuu tatu za tango ni Slicing(vipande),Pickled(kachumbari),na Brine.
Slicing 
Ni aina mojawapo yanayoliwa fresh.Huwa yakiwa ya kijani huonekana kama hayajaiva ila huwa yashakomaa na tayari kuliwa,na yale ya rangi ya njano huwa ni kali na uchachu ladha yake.

Aina hii yanauzika kibiashara zaidi North America na ni marefu shepu yake na laini na rangi
yamefanana yote,na ngozi yake ni ngumu.Kwa nchi nyingine aina hii ya tango huwa madogo kisha membamba,ngozi yake huharibika haraka,na huweza kuwa kachumbari pia.
   Tanzania ndio tunatumia sana aina hii ya matango .

 Tango linaloweza kuwa kachumbari ni aina hii huitwa Pickled nayo yanauzika zaidi sana sokoni na yanapendeza kwa kufanana kwake na urefu wake ni sawa wa mwili wake matango hayo.
Haya hutumika zaidi kwa kachumbari,huwa mafupi na membamba hayana shepu moja,yamejipinda mengine shepu yake na ina vidosti vyeupe au vyeusi mfano wa miiba.Rangi yake hutofautiana tokea cream ya njano au kijani ilokooza.Hata kwetu pia yanapatikana sio kwa wingi.
       Aina hii ya Pickled 
Ina virutubisho vingi vya Vitamin C.Huloweshwa na brine au vinegar na viungo vingine.Huitwa pia Gherkins wakati mwingine huko U.S na U.K. lilitumika sana aina hii ya tango na North England ilikuwa maarufu sana kwenye vibanda vya samaki na chipsi.

Burples 
Hili ni tamu ladha yake ina ngozi nyembamba na rahisi kudigest na imepoa ladha yake yaani ya utulivu.Aina hii ya matango kama hayana mbegu vile na ngozi yake rahisi kuharibika.Haya yanaoteshwa sana kwenye Greenhouse.Huuzwa kama hayana mbegu na ngozi, kulinganisha na aina nyingine yenye  mbegu husemekana yanasababisha gesi kwa baadhi ya watu wengine.
Tango lina ladha ya utamu kwa mbali hufananizwa na kama "Light melon" na wachache wanasema lina harufu.Tango hutofautiana kwa ladha ya uchachu hata liwe mmea mmoja.Hutokana na dawa Cucurbitacin C. Ni sumu ya hata kwa wanyama pia na sana sana kondoo.
     2011 iliripotiwa kwamba tango lina bacteria E.Coli na ilisababisha vifo watu 10.
Tango lina Energy 65kj(16kcal),Carbohydrates 3.63g,Sugar 1.67,Dietary fiber 0.5g, Fat 0.11g,Protein 0.65g,Water 95.23 na Vitamin za kutosha C,K,Calcium,Iron,Potassium,Zinc,Flouride n.k.
     Tango lina faida nyingi za kiafya: Ni tunda namba nne(4)kwa kulimwa duniani na ni chakula kikuu chenye afya mwilini(super food).
Faida za Tango
Ni chanzo kikuu cha Vitamin B. 

Hufyonza maji na kuongeza Vitamin maana tango lina maji 95%,huufanya mwili kuhitajia maji zaidi na husaidia kuondoa sumu mwilini Hutunza ngozi na nywele tokea Silicon na Sulfur inayopatikana kwayo.
Hulinda mwili na cancer, tango ina Lariciresinol,Pinoresinol na Secoisolariciresinol,ni lignans zilofanyiwa uchunguzi wa kisayansi kuwa inapunguza hatari ya cancer kama Kansa ya matiti,Ovarian cancer,Uterine cancer,na prostate cancer. kwa usafi wa nyumba huondoa ukungu kwenye kioo,

kabla hujaoga sugulia kioo na tango husafishika vizuri,na mlango utaacha kulia endapo utaweka tango.Huondoa harufu mbaya mdomoni kwa kuweka kipande cha tango juu ndani ya mdomo ukishikiza na ulimi kwa dakika 30 tango ina Phytochemicals itaua wadudu hao wasababishi wa harufu chafu. 

Huondoa hang-over na maumivu ya kichwa uamkapo asubuhi na hang-over au maumivu ya kichwa,kula vipande kadhaa vya tango,na kabla ya kulala usiku pia.

Tango lina sukari,Vitamins B, na electrolytes huongezea virutubisho zaidi mwilini. Husaidia kupunguza uzito na digestion 

Tango lina calorie kidogo na lina maji mengi na dietary fiber huondoa sumu ilo mwilini na mmeng'enyo wa chakula,na ni nzuri kwa anaepunguza uzito kutumia tango. 

Hutibu sukari,kwa kupunguza Cholesterol,na kucontrol blood presha.Juisi ya tango ina Homoni zinazotakiwa na seli za Pancreas kuzalisha Insulin kwa mgonjwa wa kisukari.

Sterols hupunguza Cholesterol ,ina Potassium,Manganese,na fiber hii ni kwa ajili ya blood presha,na tango zuri kwa aina zote za presha ya juu na ya kushuka.

 Hukuza misuli na huondoa Gout na Arthritis,Tango lina chanzo cha Silica,hutia nguvu na kukuza misuli na tissues.Ina Vitamin A,B1,B6,C,na D,Folate,Calcium,Magnesium,na Potassium ikichanganywa na juisi ya karoti,hupunguza maumivu ya gout na arthritis kwa kupunguza Uric acid levels. Tumia tango kabla ya mlo hupunguza kiungulia.
wale wapenzi wa kahawa na soda ni vizuri kuanza kuacha na kula matango kwa sanaa kwa afya na muonekano mzuri wa mwili.











0 comments:

Post a Comment