VYAKULA VYENYE FIBER
Maana halisi ya fiber, ni hutokea kwenye mazao ambayo hutengeneza mfumo wa kusafirisha chakula kwa binaadamu ,ikiwemo lignin na polysaccharides.
Fiber haihusiani na madini kabisa wala vitamins kwahiyo ina ushahidi kwa kuongezea katika vyanzo vya fiber kufyonza madini na sana sana, calcium.Kuna aina mbili za fiber:
- Soluble fiber huyeyuka kwa maji hupatikana kwenye colon huleta gesi na hufanya kazi tokana na chakula kiliopo. Soluble fibers husukuma mfumo wa chakula kwa muda mrefu yaani taratibu sana.
- Insoluble fiber haiyeyushwi na maji. Hii huwepo kwenye utumbo mkubwa . Aina hii ya fiber hufyonza maji pindi chakula kinavomeng’enywa ,ni rahisi kudefecation. Hutengeneza mfumo mzuri wa stool.
Hasara ya kuwa fiber nyingi husababisha gesi tumboni na kuvimbiwa
Wataalam wanasema tunahitaji 25
grams of fiber kwa siku 2,000-calorie diet. Vp tutaipata hii.
Tunajua kuwa fiber ni nzuri kwetu. Si kwamba dietary fiber inapunguza cholesterol, inasaidia kutuweka hali nzuri kwa kutosheka na kujisiki
kushiba pia.
Kabla hujanza kujua, kumbuka haya
machache: pindi unazidisha fiber mwilini, unatakiwa
kuongeza kunywa maji mengi na kwa muda mrefu. ili uipe nafasi gastrointestinal muda
wa kuzoea hiyo hali. Na kama una gastrointestinal diseases, ikiwemo constipation,
muone daktari haraka.
1.pata vyakula vya nafaka
nzima inapowezekana.
Angalia list kuhakiki kama nafaka
inapatikana . mazao yenye "100% ya
ngano" or "multigrain" sio nafaka nzima.
- 2 vipande vya mkate wa ngano = 4 grams of fiber
- 1 kikombe cha brown rice ilopikwa = 4 grams of fiber
- Punguza mafuta- Triscuit crackers = 3 grams
2. chagua kifungua kinywa cha cereals.
Aina ya nyingine cereals zina nafaka
nzima kidogo. Na nyingine hazina nafaka zote huwa zina sukari nyingi iso ya
lazima.
- ½ kikombe Fiber One = 14 grams of fiber
- 1 kikombe Raisin Bran = 7.5 grams of fiber
- 1 kikombe Frosted Shredded kipimo cha kijiko cha ngano = 5 grams
- 1kikombe Quaker Squares Baked in Cinnamon = 5 grams
- ¾ kikombe oatmeal kilopikwa = 3 grams
*inashauriwa kula kwa kiasi.
3. kula maharage kwa wiki mara chache.
Maharage yana fiber nyingi kuzidi mazao ya chakula mengine, na
yana ziada ya virutubisho vya afya kwa mazao yenye protein.
- 1 kikombe canned minestrone supu = 5 grams fiber
- 1/kikombe cha mboga au maharage yalokaangwa bila mafuta ,tumia microwave nachos = 6 grams
- 1/4 kikombe cha kiini cha maharage, iwekwe kwenye salad ya mboga mboga = 3 grams fiber
- maharage burrito at Taco Bell (yaliyopikwa hata nyumbani) = 8 grams.
4. kula matunda mbalimbali kwa siku.
Matunda ukala kwenye mlo wako wa
asubuhi, kula kama snacks, na chakula cha usiku ukirembe na matunda zaidi.—tumia
matunda m-badala wa kitinda mlo.
- 1 apple kubwa = 4 grams of fiber
- 1 ndizi = 3 grams
- 1 peas = 4 grams
- 1 kikombe cha strawberies = 4 grams
- Tende kiasi.
5. kila siku, koroga kijiko cha kula flaxseed,supu, casserole, etc.
Kijiko kimoja cha kula kitabost fiber
by 3 grams kwa siku. Flaxseed inabalansisha, na husaidia kuyeyuka na kutoyeyuka
kwa fiber pia.
6. kula mboga tofauti tofauti kila siku.
Iwe chakula chenye mboga, mboga
nzima kwa mchana , kwa usiku pia, kama snacks au kabla ya chakula cha usiku
kwa kuleta hamu ya kula(appetizer),. Furahia
mboga na ule mara kwa mara kila siku katika wiki.
- 1 kikombe cha karoti zilokatwa, au kupikwa = 5 grams ya fiber
- 1 kikombe cha broccoli kilopikwa = 4.5 grams
- 1 karoti nzima = 4 grams
- 1 viazi vitamu = 4 grams
- 1 kikombe cha cauliflower, ilopikwa = 3 grams
- 2 vikombe cha majani ya spinach mazima = 3 grams.
· Dietary fiber kirutubisho muhimu kinahitajika kwa kuyeyusha
chakula, Upungufu wa fiber husababisha
constipation, hemorrhoids, na huzidisha level ya cholesterol na sukari katika
damu. Fiber ikizidi kuhisi tumbo limejaa, kuharisha, hata madhara ya kiu
.
Fiber inasaidia kuzuia bacteria, ina meng’enya chakula kwa haraka. Hubadili virutubisho
vingine vya madhara na madawa yalokuwemo kwenye mwili yenye madhara na afya. Na
husaidia kuepusha madhara ya constipation.
Wastani wa afya ya mwanaume chini ya
umri 50 anatakiwa ale kwa wingi wa 38 grams fiber kwa siku,ni sawa na portion
tano za uhakika za kiini cha maharage, na kwa mwanamke ni 25 grams.
La msingi ni kujua aina gani ya
vyakula unakula kuipata hiyo fiber,na kwa kiasi gani? Orodhesha ujiridhishe, la
msingi ule vya kula vyenye afya na virutubisho mwilini..
Snack foods zenye fiber
nyingi.
Chipsi,hata za mboga mboga. karanga,
almonds au popcorn ina fiber nazo.Inashauriwa kutokula sana snacks foods au
vyakula vya kutengenezwa kama mlo wa kila siku, na hata kama ni utakula snacks
food basi hakikisha ni zile zenye afya nzuri . Dhumuni la kupunguza vyakula vya
kutengenezwa ni low-sodium,na vina hatari ya kula zaidi,ambayo haishauriwi kiafya.Ila
vovote itavokuwa jitahidi kula mboga na matunda mara tatu kwa siku.
0 comments:
Post a Comment