Nyumba yako ni chafu?Umegundua hauna muda wa
kusafisha,kuosha vyombo,kutandika,kusafisha carpets,sofa,na una muda mchache
wewe mwenyewe?Kuna vitu vya kufanyiwa usafi umeviacha?Umefikiria kufanya usafi
wa kina nyumbani kwako?Kama ni hivyo basi unahitaji huduma za usafi.
Haijalishi unaishi eneo lenye maji maji kama kibada,maeneo
yalokua yakilimwa mpunga,eneo la matope,au eneo la mchanga mwingi kama
pembezoni mwa bahari na maeneo makavu yenye vumbi,nyumba yako itahitaji usafi
wa kina kwa vipindi.Na huu ni ukweli zaidi kama una watoto,mifugo,paka,mbwa
n.k.Achilia hili,watu wengi wanahofia kutumia gharama za huduma za usafi.Kama
una mashaka na ubora wa usafi,utaalamu wa team za usafi,hizi ni sababu chache
za kukuondoa hofu hiyo.
Freeing-up Time
Kama utakodisha Sakamia cleaners kwa kukusafishia,sio tu kwa
mng’ao wa nyumba yako,utakua na muda wa pamoja nyumbani kwako na familia
yako.Hata kama utachukulia kama hobby,utakua na muda na watoto,kazi,kusoma
vitabu,au kazi za nyumbani nyingine kama kurekebisha bustani,usafi utakua sio
jukumu lako tena.Hemu Fikiria unarudi nyumbani una mchoko wa kutwa wa kazi za
siku nzima na usafi wa hiki na kile tena.Angalia mng’ao ndo liwe kubwa kwako.
Kutunza fedha
Pindi baadhi wakifikiri huduma za usafi ni gharama kubwa,
kiukweli,itakuhifadhia fedha au pesa.Kwa wale watafutaji ,kukodisha sakamia kwa
ajili ya usafi utajipatia muda mwingi wa kupumzika ambao utafanya kazi zako
vizuri.La kuongezea usafi,nyumba iliyopangika itakusaidia kuwa mzalishaji mzuri
na haitakuhitaji kusafisha pindi uwapo nyumbani kwako.
Afya
Kwa watu wengi penye uchafu ndio panaleta hamasa.Unahisi
pasafishwe na kuchanganyikiwa uonapo uchafu huo.Kukodisha sakamia cleaners kwa
kukusafishia watakupunguzia hizo presha na hamasa za stress za uchafu.Kwa kuongezea,kuwa
pasafi na pamepangwa kutakuondolea kutoona funguo zilizopotea,risiti,glasi,remote
controls na mengi.Nini cha ziada,kwa wahanga wa allergy,kuondoa vumbi na
bacteria afya zao zitazidi kuimarika kwa hewa safi.
Tips
Amini Sakamia cleaners ni wataalamu wa usafi wa kina na wa
uhakika.Japokuwa,achilia kuwa na vitu vya thamani nyumbani kwako kama
dhahabu,au pesa ,hakikisha una viweka sehemu salama .
Umakini wa kuwekeza wa
vifaa vya zima moto ukutani.Hata kama unaamini utaalamu wa huduma zetu,kuwa na
vitu vya thamani nyumbani kwako hakikisha viko sehemu salama na kuna mtu
nyumbani atakae kuhakikishia usalama na ulinzi wa vitu hivyo.
0 comments:
Post a Comment