Unafikiria kusafishiwa carpet?
Kinachofunika sakafu nyingi majumbani na ofisini na ukajisikia raha kwa kulikanyaga kwake,ni jukumu lako kulitunza vyema carpet lako.Kulitunza carpet lako ni kulisafisha mara kwa mara liwe safi.
Kinachofunika sakafu nyingi majumbani na ofisini na ukajisikia raha kwa kulikanyaga kwake,ni jukumu lako kulitunza vyema carpet lako.Kulitunza carpet lako ni kulisafisha mara kwa mara liwe safi.
Kiukweli,uchafu kwenye carpet ndio unaoruhusu vijidudu na mazalio ya
pests ambayo ni hatarishi kwa afya yako
na familia kwa ujumla.Kulisafisha carpet mwenyewe huongeza hatari ya kuliharibu
carpet ni pale ambapo huna ujuzi zaidi wa kusafisha aina za uchafu na matumizi
ya vifaa maalumu kwa carpet lako.
Kwa matokeo mazuri zaidi yaani excellent,inashauriwa kupata kampuni yenye utaalamu wa kusafisha carpet.
Kwa matokeo mazuri zaidi yaani excellent,inashauriwa kupata kampuni yenye utaalamu wa kusafisha carpet.
Kuleta kusafishiwa carpet ni rahisi kutumia utaalam wetu
dhidi ya carpet lako.Kuna kampuni nyingi zinatoa huduma hii lakini sakamia
inashika namba.Na hizi ni sababu chache kwanini utuchague kukusafishia carpet
lako.
Techniques za mazingira rafiki
Pamoja na dunia kuwa kijani,kikubwa tunachotaka kuwa na
mchango mkubwa duniani.Kutokana na hilo,tunatumia njia rafiki ya kukusafishia
carpet lako.Njia tunayotumia ni sahihi kwa fibres kwenye carpet
zimesalimika na sumu.
Kwahiyo,utakua na mapumziko ya uhakika baada ya kusafishiwa carpet na sakamia,hakuna atakae hisi allergies au maambukizi yatayosababishwa na madhara ya dawa.Kiufupi,hatusafishi carpet lako tu,vile vile tunachangia kutunza mazingira yetu.

Kuvalisha cover kwa carpet
Carpet sehemu za watu wengi kama majengo ya biashara na
ofisi za serikali matumizi yake ni makubwa zaidi kwasababu ya wingi wa watu
ndani ya hizi sehemu.Hizi carpet zinachafuka haraka,zinahitaji kusafishwa mara
kwa mara.
Tatizo hata kwa utaalam wa hali ya juu,kurudia kusafisha carpet inazidisha kuharibika kwa fibers za kwenye carpet.Tofauti na kampuni nyingine za kusafisha carpet,tunakuoffer namna ya kuyadhibiti matatizo na kulitunza carpet,utachagua kuwa na special cover kwa kufunikia carpet lako inayosaidia kutochafuka haraka.Kwa kufanya hivyo,inachukua muda mrefu kidogo kuhitaji usafi wa carpet tena.

Budget
Carpets ni ghali kiukweli.Ili kulitunza angalau lidumu kwa
muda mrefu yaani (decade).Ukifikiria athari ya kuweka carpet jingine baada ya
mwaka kwasababu umeliharibu,unahitaji huduma zetu.Kwa kutuchagua sisi
sakamia,carpet lako linakua safi kitaalamu kwa wataalamu wanaojua kindaki ndaki
faida na hasara ya kung’ara kuwa mfano wa jipya.
Zaidi,tutakushauri jinsi ya kulitunza carpet lako baada ya kusafisha na hii itakusaidia kusave hela kwa muda mrefu.
Zaidi,tutakushauri jinsi ya kulitunza carpet lako baada ya kusafisha na hii itakusaidia kusave hela kwa muda mrefu.
Tunajali muda
Wanasema muda ni hela.Usafi wa carpet ni zoezi pevu
linalohitaji muda.Kutuita sakamia wakusafishie itakusevia muda na mahangaiko ya
kutoa uchafu(kuhangaika kutoa madoa na mafuta yalogandia)wakati ungetumia muda
wako huo kuzalisha zaidi na kufanya yenye manufaa katika jamii.
Kwa kumalizia,tunajali na kuthamini wateja wetu, na kila leo
tunafikiri njia mpya tofauti kuwahudumia wateja.Tuchague sakamia kama
wasafishaji wako wa carpet na tutakuacha ni mwenye kuridhika wewe na kwa carpet
lako pia.
0 comments:
Post a Comment