• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Wednesday, August 4, 2021

10 chafu zaidi nyumbani kwako (utashangaa)

1:22 AM // by Kalma // No comments

 10 chafu zaidi nyumbani kwako (utashangaa) 
Mifereji (Faucets)
  Kama ni eneo linakotokea maji. "nafasi hua,kama hapasafishwi,utapakuta pana weusi, mildewy grunge," anasema Donna Smallin Kuper wa Unclutter.com na mwandishi wa Cleaning Plain and Simple. "Na unatumia maji hayo kupigia mswaki. Ewww!"
Mara mbili kila mwezi,toa yale magando ya uchafu kwa kuzunguka hilo eneo ,tia au mwagia vinegar iache kwa 15 dakika.Sugua kwa mswaki kuondoa uchafu wote uliobakia halafu funga vizuri.
Vikamatio  (Handles) na swichi(switches)

 Fikiria vikamatio vya milango ya friji,taa,swichi,na vikamatio au mabomba ya kuflashia chooni. "ni vya kuangaliwa zaidi wakati wa usafi kwasababu ni vidogo,na zaidi tunaangalia vifaa vikubwa,kama sakafu,na countertops, "ni kweli kabisa kila mtu maeneo hayo anayagusa,kwahiyo yana maambukizi makubwa ya vijidudu na bacteria.
 Tumia kitambaa cha microfiber kilicholowekwa na sabuni unayotumia kwa kufutia handles na switches kila mara unaposafisha.
Juu ya makabati ya jikoni 
  Hakuna anaekumbuka maeneo juu ya makabati na siling,hua haipo akilini.Yanapita masiku ,mwaka kumejaa mavumbi,tandabui,mazalio ya uchafu,vyakula vilivyosahauliwa muda mrefu,na wadudu wafu,ni watu wachche sana haswa wasaidizi wa majumbani kusafisha haya maeneo.  
Chukua ngazi na vacuum au vifaa vya kufutia vumbi.Fagio dogo  na brush na kizoleo.Hii sehemu haibebi uchafu wa kusema kusafishwe kila wiki,ni kila mara moja kwa mwezi.Na uchafu utakaomwagikia chini na kwingineko itabidi pasafishwe.
Sehemu ya kuogea(Bathtub)
Maji yanayobakia baada ya kuoga au mapovu ya sabuni,fangasi,bacteria na ukungu unaojengwa hapo.
   Tub na shower za bafuni kwako zinatakiwa ziwe kavu baada ya matumizi kupunguza mazalisho ya bacteria na uchafu.Kutumia dawa za kuuwa wadudu(disinfect)mara kwa mara,mara tatu kwa wiki na kila siku kwa bafu zinazotumika kila mara kwa familia.
Kwa kufanya hivyo,pulizia kwa kutumia dawa zenye angalau asilimia 3 ya hydrogen peroxide.Pangusa juu juu.Haina haja ya kufuta sana kwa sababu hydrogen peroxide inayeyuka haraka.Kwa maeneo ya whirlpool nyunyizia kwenye mabomba kwa mujibu wa maelezo ya watengenezaji yaani (manufacturer's)
Ndani ya friji    
Toa container zilizokaa muda mrefu na kusahauliwa,acha nafasi kuwe rahisi kusafishwa kila siku.
Hii ina maanisha friji linachafuka zaidi,na liwekewe list ya usafi wake.
Usitumie dawa zenye madawa,tumia maji moto na sabuni ya kuoshea vyombo.Ondoa vitu kwenye shelf,kisha toa shelf zenyewe.Zioshe kwenye sink kwa maji moto,zifute kwa kitambaa aina ya microfiber utarudishia kwenye friji.Fanya hivyo kwa shelf zilizobakia.

    Sink za jikoni    
 
 Asante kwa vyakula vyote vinavyobakia kwenye maficho,sink la jikoni ni chafu kuliko vifaa vya kuflashia chooni.  
 Safisha au osha sink tumia sabuni na maji kila siku,na sabuni za kuua vijidudu na sabuni maalumu za kusafishia jikoni mara moja au mbili kwa wiki.
Ukuta wa chooni
 "Unafikiri unajua kama ni vibaya,lakini hili wazo hauna, "nina moja wapo ya kali nzuri ya kuondoa madoa maeusi na pakawa safi kabisa!
Sabuni nzuri za kusafishia ukuta wa choo ni zile zenye enzymes ambazo huondoa uchafu uliyogandia.Nyunyizia au pulizia ukutani na iache kwa muda kidogo ili enzymes ifanye kazi yake.Futa na taulo safi la kusafishia ukuta.
Remote Controls
Kwa hali yoyote mikono ndio kishikio cha handles,ni aghalabu kusafisha au kufuta hizo handles,hata siku iliyoshinda mikononi kwa kubadilishia chaneli.Remote yaTV ni muhanga wa kubeba uchafu na vijidudu  nyumbani kwako.
Tumia disinfectant kwa kufutia remote mara kwa mara.Kufuta mule ndani ya vibonyezeo au buttons tumia cotton swab zile za kusafishia masikio zilowanishe na dawa .
Chini, pembeni, na Nyuma ya stove 
 "Fikiria muda wote unapatumia kati ya stove na counter na hapajasafishwa. Mvuke wa moto tokea kwa stove ni sehemu muafaka ya kuzalisha vijidudu na wakaishi.
 Ondoa au sogeza stove upande wa ukutani. Kwangua na kisu cha plastic au scrapper kuondoa uchafu,tumia dawa kusafisha oven.Tumia dawa ya usafi kusafishia kabati na sakafu .
kikombe cha miswaki
Sio tu ni ngumu kusafisha, hukaa chooni,hushika sana uchafu na usahau kusafishwa.Toa miswaki,tumia sabuni kusafisha.    
    
    Loweka kikombe kwa maji moto changanya na bleach kidogo kwa nusu saa.Suuza,loweka kwa maji safi kwa 30 dakika kuondoa mabaki ya bleach.Vizuri zaidi kutia kwa dishwashing machine kukiosha.   

0 comments:

Post a Comment