Kula Kuondoa Stress:
Vyakula 10 ambavyo hupunguza wasiwasi
Hizi ni Habari nzuri kuweka akilini wakati mwingine ukiwa na
mawazo yaani stress.Kula kunaweza saidia kukuletea utulivu.
Lakini hapa kuna kitu:Hatuzungumzii kula chakula hichoo moja kwa moja kujituliza
kabisaa au kupona kabisa kutokea kwa chakula.
Vyakula vya kukaanga au cheese
vitakuletea majuto na hata kukuongezea stress.
Badala yake,jaribu hizi lishe kimojawapo au zaidi ya hizi
vyakula 10 kujisikia au kuapata afueni ya haraka.
1. AsparagusDepression ina muunganiko wa kushusha kiwango cha folic
acid,na mboga mojawapo inayo boost na ina virutubisho ni asparagus.
Kikombe
kimoja kina mbili ya tatu ya thamani kila siku.Na ni rahisi kuwa nayo mboga hii
katika mlo wa siku wowote.Wazo lingine :
Mboga ya asparagus yaweza kuwa kidokezo
kwenye omelet.Inaweza kuwa mchemsho au grilled kama kidokezo cha kula na
nyama,Samaki n.k.Unaweza tumia pia kama chachandu ya vyakula mbalimbali.
2. Avocado/parachichiTunahitaji vitamin B kwa afya ya mishipa na seli za
ubongo,na kuwa na msongo wa mawazo au stress hupunguza vitamin B.Parachichi ni tajiri
wa kutibu mawazo au stress.
Vile vile ina uwezo wa juu cha mafuta ya na potassium,ambayo hulinda na kupunguza
shinikizo la damu.Mara ijayo tumia full-fat ice cream,au isiyokuwa na maziwa
changanya na parachichi saga na ndizi ya kuiva,weka vanilla,nut milk,na non
nutritive sweetener.Gandisha,nayo huponesha stress.
3. BlueberriesBlueberries inaonekana ni ndogo,lakini ikijaa mkononi ni
yenye nguvu ya antioxidants na Vitamin C,nayo huondoa msongo wa mawazo.
Pindi
tunapokuwa na mawazo au stress,miili yetu huhitaji Vitamin C na antioxidants
kusaidia kukarabati na kulinga za seli.Hata hivyo blueberries zina ladha
zenyewe yaani tamu balaa.
kidokezo:Igandishe iwe kama snack,hakuna namna ya
kuboost lishe kula na maziwa ya mtindi au vyakula vyenye nafaka ya kiwango cha
juu yaani high-fiber cereal.
4.MaziwaGlass ya maziwa ya vuguvugu kabla ya kulala imegundulika ni
wakati wa kutibu insomnia fidgetiness.Kwasababu maziwa kunapatikana antioxidants,vitamins
B2,na vizuri protein na Calcium.
Protein lactium ni chenye athari ya kutuliza
kushusha shinikizo ladamu yaani blood pressure,wakati potassium ipatikanayo
katika maziwa husaidia kulegeza misuli ya sparms iliyojibana wakati wa hasira au wasiwasi.
Kupata nafuu ya munching hutokea kwenye almonds,ambapo ina
vitamins B2 na E.Vyote kwa Pamoja ni virutubisho inayosaidia kuimarisha kinga
za mwili kipindi cha msongo wa mawazo.Yaani ni robo kikombe cha almonds kila
siku.Unaweza tumia almonds kama siagi au katakatia kwenye matunda au whole
wheat crackers.
6. MachungwaKuna sababu ya juisi ya machungwa kuwepo kama kinara katika
mlo wa kifungua kinywa asubuhi.Vitamin C ni vitamin nyingine ijulikanayo kama kupunguza
shinikizo la damu na hormone za stress cortisol.
Kwa ufanyaji kazi wake harakaya
vitamin C,ni rahisi tu kula chungwa lenyewe au juisi ya machungwa bila ya
kuweka sukari.Au hata ya kununua pia,kubwa na la muhimu kuipata juisi halisi ya
machungwa.
7. SalmonKula Samaki kwa wingi katika mlo wako utajisikia vizuri.Mlo
kamili wenye omega-3 wa fatty acids husaidia kuweka cortisol na adrenaline
spiking pindi unajisikia hasira au msongo yaani stress.
Salmon ni mojawapo ina vyanzo
ya omega -3s:Ipatikane kwenye mlo angalau 4 ounches mara tatu kwa wiki na hufanya
kazi kibws ya kulinda na kukinga moyo pindi homoni zinapoongezeka wakati wa
stress.
8. SpinachTengeneza au pika chakula weka na spinach.Majani yake
yanaweza yakawa katika mawazo ya chakula cha faraja,lakini spinach ina leta
afueni ya madhara ya stress.
Spinach ina mzigo wa kutosha wa magnesium,madini yanayosaidia kuweka sawa kiwango cha cortisol na kukuza au kulazimishia hisia za kupata afueni.Kikombe kidogo cha percent 40 ya spinach kila siku,unaweza ukala katika mlo wa asubuhi wa kifungua kinywa Pamoja na mayai,tumia kama lettuce kwa sandwich,tumia kama kachumbari,chemsha kama mboga,au pika majani machache katika supu yako.
Usingizi unaopata baada ya kula cha jioni na zaidi kwa chakula ukipendacho husababishwa na amino acid tryptophan ipatikanayo turkey.Tryptophan huashiria ubongo huondoa na kutoa kemikali ya serotonin,ambayo inachochea utulivu na huondoa uchovu mzito.
Oatmeal ni chakula kingine kinasaidia kuleta utulivu na afueni
itokanayo na mzunguko wa hormones za serotonin.tumia njia hii,ambayo hupatikana
kwa oats ya kizamani inayohitaji kupikwa badala ya instant oatmeal.
Kwanini?Sababu
Oats ina fiber nyingi ya kutosha na kwasababu hiyo huchukua muda mrefu
kumeng’enywa(kwa maana inamaanisha athari ya kutuliza au kuponesha hudumu kwa
muda mrefu).
0 comments:
Post a Comment