• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Friday, August 27, 2021

5 Maajabu ya urembo kwa kutumia coffee Ground!

12:09 AM // by Kalma // No comments

5 Maajabu ya urembo kwa kutumia coffee Ground!

Unaweza kunywa kahawa yenye caffeine huku macho ikiiangalia kwa makini,harufu nzuri na joto linalofariji. Lakini usitupe coffee ground za zamani wakati sufuria yako ya asubuhi haina kitu! Unaweza kushikilia utaratibu wako wa urembo na matokeo ya caffeine wakati wako wa  kuamka kwa kutumia tena  coffee ground katika kuleta mazuri haya ya urembo.

Kwa kuongeza, utaokoa pesa kwenye bidhaa za urembo zilizonunuliwa dukani, wakati wote ukatumia coffee ground.Na ikazaa matunda ya ushindi!

1. Exfoliate And Scrub

Coffee ground ya iliyotumika hufanya uso kuwa mzuri, hupunguza seli za ngozi zilizokufa ili kufunua ngozi safi, yenye afya na safi. Kifuatacho ni mahitaji rahisi ya urembo wa ngozi ya uso nyumbani.

4 Vijiko vya nazi, olive oil, au mafuta unayopendelea

Vijiko 6 vya coffee ground iliyotengenezwa vizuri(hata iliyosagwa kwa muda mrefu nayo nzuri)

Matone machache ya tea tree,au mafuta uyapendayo

Changanya viungo vyote vizuri na uhifadhi kwenye chombo kisichopitisha hewa kwenye joto la kawaida au kwenye jokofu. Pakaa usoni kidogo,sugua kwa mzunguko wa duara kwa upole.Mchanganyiko huo unaweza uhifadhi kwa wiki kadhaa.

2. Combat Cellulite

Aina hii ya urembo huu zaidi inaendana na maumbile ya aina ya ngozi,pindi inapotengenezwa hua ni nzuri katika urembo.Japokuwa ,caffeine inayopatikana ndani ya hii coffee ground inaongeza mataboliki za aina ya mafuta na huongeza mzunguko,kuna uwezekano wa kupunguza cellulite.kazi yake ni kulainisha ngozi na kuifanya iwe nyororo.Jaribu hata kwa ajili ya kusugua mwili yaani body scrub au brown sugar Vanilla body scrub.

 3. Hung’arisha nywele,na kulainisha

Athari za coffee ground hutumika kwa nywele pia! Changanya coffee ground na conditioner unayotumia au uipendayo kwa taratibu sugua kwenye ngozi ya kichwani kwa dakika chache.Sio tu utajisikia vizuri,lakini caffeine inasaidia kukuza na kuotesha nywele! Fanya hivi kwa muda wa wiki moja kwa matokeo mazuri na bora.

Ujumbe wa tahadhari,unaweza tumia kichujo kinachochujia kahawa ukaweka kwenye maji na kuusuuzia nywele,au kwennye shower ya kuogea na yakatumika wakati wa kusuuza nywele.

4. Kupendezesha Rangi ya Nywele

Kuloweka nywele kwenye kahawa iliyobaki au kusugua kwa coffee ground kunaweza kukuza rangi ya nywele, kuongeza vionjo kwa nywele nyeusi zaidi, na kufanya muonekano wa  rangi aina yoyote za nywele kung'aa sana. Kwa kuongeza, kuloweka ngozi kwenye mabaki ya kahawa kunaweza kutoa muonekano wa ngozi kung'aa yenye afya na kukinga ngozi kuathirika na jua pia hutibu ngozi iliyoathirika na jua.

5. Tengeneza Mask

Matokeo  ya kusisimua ya caffeine inaweza kukufanya uwe na ngozi ya kupendeza wakati unatumia kahawa kama facial mask! Jaribu kujipatia ladha  nzuri ya Kahawa na kahawa hiyo hiyo kwa ajili ya mahitaji ya usoni,

Jipumzishe na kitabu upendacho na kikombe chako cha kahawa.

 

 

0 comments:

Post a Comment