• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Tuesday, August 31, 2021

Kula Kuondoa Stress

12:21 AM // by Kalma // No comments

 Kula Kuondoa Stress: Vyakula 10 ambavyo hupunguza wasiwasiHizi ni Habari nzuri kuweka akilini wakati mwingine ukiwa na mawazo yaani stress.Kula kunaweza saidia kukuletea utulivu.Lakini hapa kuna kitu:Hatuzungumzii  kula chakula hichoo moja kwa moja kujituliza kabisaa au kupona kabisa kutokea kwa chakula.Vyakula vya kukaanga au cheese vitakuletea majuto na hata kukuongezea stress.Badala yake,jaribu hizi lishe kimojawapo au zaidi ya...

Monday, August 30, 2021

Mmea wa Aloe

2:54 AM // by Kalma // No comments

Mmea wa Aloe Matumizi na faida zake Mmea wa Aloe una matumizi na faida kibao,na mmea aloe kiukweli ni kitu ambacho napenda kiwepo nyumbani,na haswa kipindi cha jua au kiangazi. Ni cha ajabu mmea huu kwa kulainisha ngozi baada ya kupigwa na jua kali ndani ya siku yako,hata kama halijakuunguza (sunburnt),na vile vile hutumika kuondoa scrapes na kuungua kidogo.Mara zingine sikumbuki niliweka wapi chupa la mmea wa aloe najikuta nakimbizana...

Friday, August 27, 2021

5 Maajabu ya urembo kwa kutumia coffee Ground!

12:09 AM // by Kalma // No comments

5 Maajabu ya urembo kwa kutumia coffee Ground!Unaweza kunywa kahawa yenye caffeine huku macho ikiiangalia kwa makini,harufu nzuri na joto linalofariji. Lakini usitupe coffee ground za zamani wakati sufuria yako ya asubuhi haina kitu! Unaweza kushikilia utaratibu wako wa urembo na matokeo ya caffeine wakati wako wa  kuamka kwa kutumia tena  coffee ground katika kuleta mazuri haya ya urembo.Kwa kuongeza, utaokoa pesa kwenye bidhaa za...