• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Wednesday, October 30, 2013

ASALI (chakula cha afya duniani).

1:38 AM // by Kalma // No comments

ASALINi ya ajabu yenye rangi ya dhahabu.Hupatikana ndani ya mwaka mzima kila siku. Ni chakula kitamu cha nyuki hutumia nectar kutokea kwenye maua.Aina ya Apis ndo hujulikana zaidi.Hukusanywa na wafuga nyuki,na hutumika sana kwa binaadamu. Asali inayotengenezwa na wadudu wengine hiyo ina matumizi tofauti.  Nyuki wanatengeneza asali kwa njia ya uchavushaji(regurgitation)na uvukizi(evaporation).wanaihifadhi katika mizinga ya nyuki.Ni...

Tuesday, October 29, 2013

KOME/MAKASHA (mussels or clams)

7:10 AM // by Kalma // No comments

KOMEKome ni anajulikana kwa jina lingine kasha ni kitoweo kinopatikana kwa maji ya bahari au freshwater maji yaso chumvi.Ni kitoweo kwa matumizi ya familia na makazi ya watu wa pwani zaidi.        Kome wanagamba wenyewe wako ndani. Kome ni tofauti na chaza,wao ni wakubwa wakati chaza ni wadogo. Chaza kwa kizungu ni Oyster na kome ni Mussels au clams.       Neno "mussels"hutumika kumaanisha chakula...

Monday, October 28, 2013

MATUMIZI YA CHUMVI

1:13 AM // by Kalma // No comments

CHUMVIChumvi ina Sodium Chloride.Ni chemical ambayo ina wingi wa ionic salts.Ni asili hutokea wenye milima au halite.Ni kwa maisha ya wanyama. Saltiness ni kwa ajili ya ladha kwa binadamu.Romania walikua wakichemsha maji wakapata chumvi enzi hizoo.Ilikuwa ikisafirishwa kibiashara wakitumia boti na kwa bahari za Mediterania kwa barabara za chumvi,kupitia sahara wakiwa wamebeba  Camel caravans.Hutumika kwa sherehe za kidini,viwandani,na kitamaduni.Afrika...

Friday, October 25, 2013

KUONDOA MADOA,(ACNE)MWILINI.

5:02 AM // by Kalma // 1 comment

Uko tayari na hiyo siku yenyewe,ushajipanga mwenyewe tarehe tayari,job interview,wedding day,ukijiangalia usoni una pimples,madoa au mabaka .Si majanga hayo?  Doa au kovu madoa hutokea kwa wakubwa 95%.Hakuna tofauti kati ya Spot na acne,kwa kiswahili ipo ila humo humo.Doa ni mvunjiko wa ngozi,wakati acne huenea mwili mzima.Huweza tokea usoni,kifuani,mgongoni,begani na Buttocks.         Doa ni kuziba kwa tezi...

Wednesday, October 23, 2013

MATUMIZI YA HENNA(HINA )

10:09 AM // by Kalma // No comments

MATUMIZI YA HENNALawsonia Inermis ni jina lingine la henna. Jina la Henna yenyewe asili yake ni lugha ya kiarabu lenye maana ya Dye. Hutumika kwa ngozi, nywele, na kucha.Hutumika kwa Hariri,Pamba,na Leather.Henna ilitumika kama urembo Egypt, North Afrika,na waarabu wa Peninsula na South Asia. Ilitumika sana Pakistani ,India na Afrika.Siku hizi kuna sherehe ya henna maarufu Bridal henna night, ni kimila flani hivi ila imekua ya kisasa zaidi...