• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Saturday, October 5, 2013

USAFI WA MENO.

2:34 AM // by Kalma // No comments

USAFI WA MENO

Usafi wa mdomo unahusiana kutoa uchafu kwenye meno kwa ajili ya kulinda Ubovu wa meno, mashimo, vijidudu na magonjwa(periodontal disease.
  Huwa tunapiga mswaki kwa kutumia mswaki,na dawa za meno, dental hygienist,(hizi ni kitaalam zaidi),huondoa magaga ya uchafu yalokaa sehemu ngumu ambayo hayatoki kwa kupiga mswaki tu hata kama mara kwa mara.

                            KUPIGA MSWAKI(BRUSHING)

Kwa umakini kila mara kwa kutumia mswaki wa meno hulinda meno na magonjwa na  bacteria pia.
     Electric toothbrush mswaki wa umeme uligunduliwa mapema kwa walemavu wa mikono,ukaenea kwa matumizi ya kawaida hata kwa wasiokuwa  walemavu.
        Kwa ufanisi zaidi huu mswaki wa umeme unapunguza plaque inazotengenezwa kwenye meno na uchafu Gingivitis, uko vizuri kulinganisha na huu wa kawaida.

                               FLOSSING(INTERDENTAL CLEANING)
Kupiga mswaki kwa kutumia kifaa hiki "dental flossing" ambayo ni kupiga mswaki katikati ya meno husaidia kulinda meno na bacteria na hayo magaga na kifaa kingine interdental brush.  Asilimia 80% ya ubovu wa meno unatokea kwenye mfuo au matobo na mipasuko,husababishwa kwa kutafunia kwenye meno. Nao uchafu wa ndani ya mipasuko ya meno unaweza kusafisha kwa kutumia toohpick, au oral irrigator n.k.

KUSUGUA (SCRUBBING).Kusugua ni njia nyingine ya kupiga mswaki na hii sana unatumia Njiti au mswaki wa mti. Hii ni kawaida sehemu nyingi duniani inatumika.

Waisilamu tunaita kwa lugha ya kiarabu "siwak" ni hii ya miti na umethibitika kwamba una kinga za vijidudu kwa mtumiaji kwenye meno.

          KUSAFISHA KITAALAM(PROFESSIONAL TEETH CLEANING).Huu ni mfumo wa kutoa susa,ugaga na magonjwa kwenye meno hata ukipiga mswaki kwa uangalifu na mara kwa mara hii hujenga kwenye meno,haswaa kwenye sehemu ngumu kuzifikia.

  Hufanywa na madaktari wa meno dental hygenistic,.
Hii inaweza fanyika kwa kuongezea meno(tooth scalling),kung'arisha meno(tooth polishing),na kuondoa tissue za madhara, (debridement)kama ni ugaga"tartar"inatokea sana hii. Hufanywa kwa vifaa maalum kwa kulegeza na kutoa huo uchafu.


 Wagunduzi na madaktari hawana usemi mmoja wa kuhusiana na huu uchafu "tartar" unasababishwa kwa kutopiga mswaki,na vile vile hausababishwi kwa kupiga mswaki.
Wao walitoa faida tu za kupiga mswaki baada ya maswali mengi kuhusiana na hili.
 Uchunguzi ulianza 2005-2007 mwishowe walishauri tu kufanya hivi kila baada ya miezi sita au kwa mwaka,na hata hivyo hauna msingi mkubwa kivilee ila hupunguza mashambulizi ya wadudu.

     Wanauchumi wakawaambia madaktari wa meno washauri watu kufanya hivi kwa sababu ya kuongeza uchumi kwa upande wao.
      Law proffeso;Ian Ayres,mwandishi wa Super Crunchers, aliuliza swali hili: Hivi kupiga mswaki ni kashfa?
         Madaktari wa meno wakamjibu kufanya hivyo mara kwa mara husaidia wakati wa ubovu wa meno, huwa rahisi kugundua na hupunguza mashambulizi ya magonjwa ya meno.
Inashauriwa kufanya hiki kipimo kila mwaka.Husaidia kujenga meno imara ,kulinda ubovu wa meno,na vijidudu kwenye fizi.

Ni vizuri kuwatumia mabingwa wa meno kwa kuepusha athari za majeraha ya meno na  kwenye fizi,na damu kutoka kwenye fizi,na ubovu wa meno pia.






0 comments:

Post a Comment