CHUMVIChumvi ina Sodium Chloride.Ni chemical ambayo ina wingi wa ionic salts.Ni asili hutokea wenye milima au halite.
Ni kwa maisha ya wanyama. Saltiness ni kwa ajili ya ladha kwa binadamu.Romania walikua wakichemsha maji wakapata chumvi enzi hizoo.Ilikuwa ikisafirishwa kibiashara wakitumia boti na kwa bahari za Mediterania kwa barabara za chumvi,kupitia sahara wakiwa wamebeba Camel caravans.Hutumika kwa sherehe za kidini,viwandani,na kitamaduni.
Afrika ilitumika South Sahara.Na sana sana ilitumika kwa chakula .Wanyama wana tissue zina chumvi kwenye nyama,maziwa,na damu.Matunda na mboga pia vina chumvi ya asili ila kidogo.East Asia wanatumia chumvi ambayo ipo kwenye Soy sauce,fish sauce,na Oyester.Huwa zina sodium nyingi kwenye hizo sauce.Hutumia sana kwenye kupikia kuliko kuongezea juu ya chakula .Chumvi ina madhara ikizidi mwilini.Chumvi ni kitu kikuu kwenye diet.Huweza sababisha blood pressure,ugonjwa wa moyo na stroke,ikizidi mwilini.
Chumvi ya mezani iko 40% uzito wa Sodium,6g(kijiko kimoja cha chai ina sodium 2300gms.Husaidia nerves na mishipa kufanya kazi vizuri. Ina fanya mzunguko wa maji vizuri mwilini ina balansisha fluid.Mlo mzuri hunogeshwa na chumvi ambayo ina sodium.
Tabia ya western countries ni kutumia chumvi 10g kwa siku,iko juu kipimo chake ukilinganisha na Eastern Europe na Asia.Ni vizuri kupunguza kula chumvi hata cardiovascular disease husababishwa na chumvi nyingi,kwa watu wazima na watoto,japo athari haionekani hapo hapo.Chumvi hushauriwa kula 200gms ya Sodium kwa sikuChumvi hutumika kwa mimea na wanyama.Matumizi ya viwandani ni 68% na sodium chloride ndo inayotumika sana,kwa kupata Caustic soda na chlorine,hutenganishwa na electrolysis.Hutengenezea Pvc,Plastic,Paper pulps.Hutumika kama Flux kutengenezea Aluminium. Chumvi hutengenezea sabuni ,glycerine.Synthetic rubber,kurushia mfinyanzi,na ceramic materials hutumika chumvi kutengenezea.Wakati wa kuchimba chumvi yale mabaki yanayobakia kwenye mchanga na changarawe,hutumika chumvi kwenye matope kujenga ukuta imara kuepusha shimo kujifunika au kuvunjika.Chumvi hiii hutumika kama mordant kwa vitambaa vilokwisha kwa kutengenezea resini kwa kulainishia maji kwa ngozi pia. Chumvi hutumika kuhifadhia, chakula kama nyama,samaki visiharibike kwa muda mrefu.
Wanaoongoza kwa kuchimba chumvi duniani ni kule Khewra salt mine kipo Pakistani.wana sehemu ya kuhifadhia 19,wakati 11 zipo underground km 400 kwa mls 250. 2002 jumla ya chumvi ilivunwa duiani ilikuwa tani 210 milioni,U.S wakiongoza,wakafuatia. China,Germani,India na canada kwenye kumi bora hizo.
2003-2008 uzalishaji uliongezeka kwa 12% kwa mwaka na China ilishika namba kwa uzalishaji wa viwandani. Chumvi hutumika kwa dini pia.Angalia hii; Hadithi ya sunan Ibn Majah alimsikia Mtume(s.a.w)akisema "chumvi ni master wa chakula chenu ,mungu ameteremsha tokea mbinguni "Moto,Maji,Chuma,na Chumvi".Wahindi wanatumia kipindi cha harusi,na Brahmanic wao hutupia chumvi kwenye moto kipindi cha kutoka mwezi mpya na hupiga kelele kama kuongeza imani na kufurahia. Chumvi ni dawa kwa jino,kutuliza maumivu ya fizi,kung'atwa kwa mbu,koo,na kidonda,kuungua,na kukandia mwili.Kwa kusukutua na maji moto,waeza kupigia mswaki kwa meno yanayotoa damu,na kuweka kwenye kidonda kukata damu. Chumvi hutumika kwa usafi kutoa kutu,vyombo vya mafuta,kusafishia friji,madoa,kupunguza rangi kwa nguo inayochuja,na kutofautisha rangi isichanganyike kwenye nguo,na kusafishia copper.Chumvi hupunguza matunda na mboga kuleta rangi ya brown kama apple au bilinganya,hata viazi n.k.Chumvi huondoa uchafu mikononi ukiwa umetumia vitunguu na thom,utomvu na kusugulia vyombo vya stainless steel hung'aa. Kuzuia wadudu wasiingie ndani kama utamwaga kwenye eneo kama inzi,mende n.k.Chakula kisicho chumvi huwa hakina ladha nzuri ila ikizidi huwa karaha nayo. Chumvi iliwe kwa kiasi na ladha ya chakula.
0 comments:
Post a Comment