• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Wednesday, October 16, 2013

MDALASINI

3:30 AM // by Kalma // No comments

MDALASINI

Kiungo kinapatikana tokea mgome wa mti,genus unaotumika kote kote kwa utamu na hata savoury foods.
Hili ni zao la kibiashara kimataifa tokea kiungo cassia ulotofautishwa kwa kufanana na mdalasini.

  Kwa kizungu huitwa"Cinnamon"llianzia ugiriki "kinnamomon"tokea Phoenician. 

Sri lanka Sinhale huitwa"kurundu" iliorekodiwa kwa kizungu karne ya 17 kama "Korunda".inaitwa "Kouwa" huko Tamil.

 Indonesia hupandwa Jawa na Sumatra wanaita Kayumanis ( sweet wood).European baadhi yao neno hili limetokea Latin Cannela,"tube" from the way curls up as it dries. Ladha yake ni harufu  yake ya kunukia.Ina mafuta yana rangi ya golden-yellow,na harufu nzuri. Mafuta hutokea kwenye magome pia.

      Mdalasini ni kiungo.Kuandalia chocolate,haswaa Mexico .Hutumika kama kitindamlo desert kama vile Apple pie,Doughnuts,Buns za mdalasini,Chai,Kahawa,Hot coffee. hutumika kwa vyakula vitamu pia.

Hutumika kwa achari,pickling. U.S hutumia na sukari kwenye Cereals kuleta ladha, mkate,na matunda kama Apple.Unga wa mdalasini ndio muhimu kwa Persian cuisine kwa supu,vinywaji, na vyakula vitamu.Huchanganywa na maji ya rose na viungo vingine.

Hutengenezea Curry powder kwa ajili ya vitoweo na kwa vitamu tamu. kwa kiarabu hujulikana kama "shole zard".

 Mdalasini ni dawa pia huua vijidudu kama dawa ya kupuliza,hubakia haina ladha.Majani ya mdalasini yanaua sana mbu.

  Mdalasini ni wa umotomoto na mkavu pia umeaminika na madaktari hutibu kuumwa kwa nyoka, freckles, baridi ya kawaida,matatizo ya figo.

 Japo wasomi wa sasa wamegundua madalasini una Coumarin huweza sababisha tatizo kwenye ini kwa wale sensitive.
      Mdalasini na thoum hutumika kwa kuhifadhia Samaki na Nyama visiharibike kwa muda mrefu. Na hata vyakula vilokaangwa sana .

   10gms sawa 2.1kijiko cha chai kina energy 103.4kj(24.7kcal),Fat (0.12g),Carbohyrates(8.06g), Fibre 5.41g na sugar 0.2g,Protein 0.4g.

    Ni dawa ya asili .ina effect on "Hiv"-1.
     Husaidia kucontrol glucose level kwenye sukari.
Wanafamasia waliuchunguza mdalasini "Nrf2" inajitegemea antioxidant ambayo hufanya kazi ya Epithelial Colon,cells Chemopreventive ambayo imo Colorectal Carvinogenesi.Ina Antimelanoma iliopatikana kwenye Cinamec Aldehyda kwa Melanoma.
Kifamasia zaidi.
     2011 walitoa (CEPT)ilokuwa kwenye mdalasini huzuia kuendelea Alzheimer disease kwenye meno.

      FAIDA ZA MDALASINI KIAFYA .

Hutibu misuli,kiarusi,kutapika,kuharisha,baridi,na kupoteza hamu ya kula.
   Hushusha sukari.
   Hutibu madhara ya fangasi,Cinnameldehyde hii hupambana na Bacteria .
   Hupunguza mafuta .
   Hupunguza maumivu ya period kwa wanawake na infertility kwa wote,kwa kubalansisha hormones .
    Hutumika musk ya uso ikichanganywa na asali.
    Kula 6gms ya mdalasini kwa siku hupunguza Serum Glucose,LDL Cholesterol,yaani ile harmful cholesterol.
    
Ina madhara ikiliwa sana,allergy ya ngozi pia.

Sio nzuri kwa watoto,wajawazito na wanaonyonyesha ina sumu inaweza sababisha tatizo kwenye Ini hata Hormones pia.

Usitumie kama dawa bila ya ushauri wa daktari .








0 comments:

Post a Comment