• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Tuesday, October 1, 2013

KABICHI (CABBAGE)

3:46 AM // by Kalma // No comments

KABICHI

Kabichi ni jani la kijani. Ni mboga hupatikana kipindi cha mwaka mzima yaani haina msimu. Ina rangi ya zambarau, ipo nyekundu, halafu ni laini sana.

  Ni ngumu kuizungumzia kabichi mana ina historia nyingi nzuri nayo ni refuu. Ilianzia Europe huko zamani kabla ya 1000BC ilitumika kama "cuisine"  Europe.
       Kabichi huwa inachumwa kuzuia upungufu wa virutubisho vinosababishwa na wadudu,fangasi na bacteria.
Mnamo 2011 uzalishaji wa kabichi ulifikia  milioni 69 ambapo nusu ya zao hili linalimwa kwa wingi China.
Wenyewe Wachina wanatumia kama mboga.
Kabichi inaweza kutengenezwa kwa mlo kwa aina nyingi tofauti tofauti;
       Kabichi ina vitamin C na ina fibre pia.
       Inajenga  na kurekebisha udhaifu wa mifupa.
       Inapunguza cholesterol.
       Inatumika kama kachumbari.
       Inapunguza mashambulio ya cancer.
       Ina maintain sukari.
       Ina boost DNA repair.

Ikichemshwa  inatumika kama dawa .

   Ugiriki wanatumia kabichi kwa kuua sumu mwilini, Roman wao kwa kukata makali ya pombe "hangover". Egypt hupendelea kuanza kula na kabichi kupunguza maafa ya "wine".
   Iligundulika kabichi hili hili inazuia maambukizi ya bacteria na vijidudu kwa wanawake sehemu za siri,kwa wanaoitumia mara kwa mara.
         kabichi iliopoa hutuliza ulcers, hii kwa maana iwe iliopikwa halafu imepoa au iliokuwa kwenye friji ikapoa.
Europe wanatumia kama dawa ya homa ya mifupa, gesi, kulainisha koo.
Hulinda na miale ya jua na sunstroke.
Huupozesha mwili uloshambuliwa na homa kali.
Kulainisha nyayo za miguu.
Juisi yake hutibu appendis.
 
IKipikwa kwa mvuke inatoa acid na humeng'enya chakula kwa haraka ambayo inakata cholesterol, obvious na uzito utapungua.

Inashauriwa baada ya kuikata kata, pia isiwe vipande vikubwa robo nchi hivi,na uiache ndani ya maji kwa dakika tano,kabla ya kupika, na kuipika basi isizidi dakika saba yaani isiive sanaa na isitiwe viungo sana......itapoteza virutubisho.

0 comments:

Post a Comment